Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Nataka kujua huwa jamii huwa wanamchukuliaje kijana wa kiume ambaye amekaa muda mrefu bila mwenza pengine tangu amalize chuo atakaa ata miaka 3 - 5 hana demu wala mke hata mtoto wakuzingiziwa yeye hana
Nilishawahi kwenda mahali fulani mizunguko ya hapa na pale sasa kuna nyumba moja
Kuna jamaa hapo bdo yupo kwa mama hapo walitofautia kidogo na dada yake ugomvi ulivyozidi kama unavyojua Tena wanawake akamchana jamaa
'ndo mana utaki kuoa huo wote ni uchoyo tu'
Sasa turudi kwenye hoja yangu jamii wanamtaa,ndugu,au marafiki wanamuonaje kijana wa kiume ambaye hajaoa au amekaa mda mrefu bila mwenza