Hivi jamii zinawaonaje vijana wanaokaa muda mrefu bila kuwa na mwenza

Hivi jamii zinawaonaje vijana wanaokaa muda mrefu bila kuwa na mwenza

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,325
Reaction score
7,807
Nataka kujua huwa jamii huwa wanamchukuliaje kijana wa kiume ambaye amekaa muda mrefu bila mwenza pengine tangu amalize chuo atakaa ata miaka 3 - 5 hana demu wala mke hata mtoto wakuzingiziwa yeye hana

Nilishawahi kwenda mahali fulani mizunguko ya hapa na pale sasa kuna nyumba moja
Kuna jamaa hapo bdo yupo kwa mama hapo walitofautia kidogo na dada yake ugomvi ulivyozidi kama unavyojua Tena wanawake akamchana jamaa

'ndo mana utaki kuoa huo wote ni uchoyo tu'

Sasa turudi kwenye hoja yangu jamii wanamtaa,ndugu,au marafiki wanamuonaje kijana wa kiume ambaye hajaoa au amekaa mda mrefu bila mwenza
 
Mimi sitaki kuzungumzia jamii, nataka nizungumzie mtazamo wangu.

Kuoa ama kuto kuoa, kuwa na mwenza ama kutokua na mwenza aghalabu na watoto pia, hakika sio jambo la lalazima kama hakuna unayemkera.

Je anayetaka uoe ukikwama atakusaidia?
Ama ndio atakusimanga "amekimbilia kuoa akizanj ni lelemama"

Maamuzi ni yake, kuoa ama usipoa walimwengu hawezi kuacha kuku "define" wanavyoona wawo ni sawa.
 
Mmh ila kwa mwanaume inatia ukakasi kidogo. Miaka 3-5 bila demu duuuh.
 
Nataka kujua huwa jamii huwa wanamchukuliaje kijana wa kiume ambaye amekaa muda mrefu bila mwenza pengine tangu amalize chuo atakaa ata miaka 3 - 5 hana demu wala mke hata mtoto wakuzingiziwa yeye hana

Nilishawahi kwenda mahali fulani mizunguko ya hapa na pale sasa kuna nyumba moja
Kuna jamaa hapo bdo yupo kwa mama hapo walitofautia kidogo na dada yake ugomvi ulivyozidi kama unavyojua Tena wanawake akamchana jamaa

'ndo mana utaki kuoa huo wote ni uchoyo tu'

Sasa turudi kwenye hoja yangu jamii wanamtaa,ndugu,au marafiki wanamuonaje kijana wa kiume ambaye hajaoa au amekaa mda mrefu bila mwenza
Mipango imetofautiana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hana kazi mie naweza meltwater hataki stress. Ila mie binafsi mwanaume ana kazi nzuri ila mpaka 30-35 hajaoa hua naona wabinafsi pia.
 
Mi kazi ninayo pesa ninayo familia naibeba kila kitu nagawa pesa kwa wazazi constantly kila mwez wanalala tu pesa ya kula kwangu kila tatizo kwangu

Huwaga sipendi kujicompare with any one, at anyhow naishi nitakavyo navaa vizuri kila kitu mapenzi sio kila mtu yuko bussy majeraha ya moyo ni mengi dunia haipoo sawa

Ujinga wa watu kufuatiliana kila kona sina demu miaka kibao tangu 2017nilikuwa sina kitu napambana kuchakarika kiume

Dini yetu waislamu haijaweka kuoa faradhi ila swala 5 ni faradhi ila binadamu hawaelewi
 
Tuna wachukulia kama mashoga tu .. [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
aliekua mtangazaji wa Radio One Isack Muyenjwa Gamba naskia aliondoka bila kuacha mtoto.. waTZ wengi walibaki na viulizo kichwani sasa sijui walikua wanajiuliza nini
 
Tatzo sio kuwa na dem au mke ili kufurahisha watu, tatzo ni je umepata yule mwenye sifa unazotaka ili kufurahia kuwa nae?

Ukitaka kuishi maisha ya kukwepa watu watakavyo kusema unaweza jikuta unajichimbia kaburi mapema.
 
Back
Top Bottom