Hivi kabla hujafa unatamani kutembelea nchi gani hapa duniani?

Mimi ningependa kutembelea Mbinguni ili kufanya maandalizi ya maisha yangu ya Baadae!
Amen ๐Ÿ™!
 
Kweli wabongo tuna safari ndefu sana.
Yani mpaka hapo London safari ya masaa 8 mpaka 10 tu hujawahi kufika hadi karne hii ya 21?
Hata huyo wa London hajawahi fika Canterbury safari ya 2 hrs kwa gari au 1.15 hrs kwa train.
 
1. Antarctica, Greenland kwenye ice.
2. England, mitaa ya shoreditch, London.
3. USA, kule Brooklyn.
4. Germany, pale Tiergarten, Berlin na Frankfurt.
5. South Africa, mji wa Stellenbosch.
 
Saudi Arabia , South Korea , Iraq , Syria , Egypt, Uzbekistan na Turkmenistan
 
Mimi kabla sijafa natamani kwenda Ukraine na Urusi kule kuna wanawake wazuri kuliko sehemu yoyote duniani sio uzuri, sio akili, sio shape wanawake wa hizi nchi wameumbwa aisee. Weka nchi zako na wewe kabla hujafa unatamani kutembelea nchi gani.
Romania,Madrid,Colombia,Lithuania,Armenia,Poland,IVory coast, Berlin,France,England na Rwanda.
 
Tutende mema duniani,wema unalipa. Kiukweli natamani sana kwenda burundi,napenda kujifunza tamaduni za kiafrika,nataka nikalijue kwa undani utamaduni wa watu wa burundi hasa waha,na wahutu. Lakini binadamu tunapanga nae Mungu ashatupangia basi tuombe uzima tufanikishe adhma yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ