heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,042
- 13,383
We ndo ex wake uliekuwa mgumba wa kuzaa ndo maana unamjua ho kuliko mtu yoyote anayway mabo yako na mumeo hp tusiyaingile itakuwa ulikuwa unampa mkund sana ndo maana hukumzaliaAnatafuta Kiki tu yule. Anadai Humphrey ana mke na watoto? Toka lini?
Wapo lockdown kuna mmoja ni mjeda ila muda mwingi anakuwaga home tunalewa wote full time ila tar 29 akawa bize akawa anakuja mara moja moja alivyoondoka tangu wiki iliyopita adi leo hajarudi na simu inaitaga tuYeah ni kweli mkuu ,mimi huwa sipendi kuandika issue za propaganda ,kama kitu sikijui siwezi kuwaingiza watu chaka ,natoa taarifa kwa wahusika wenyewe.
wanaowagharimia wao na familia zao wameuliwa pasina sababu, na bado wanatishiwa halafu wao wanakubali hiyo lockdown, jeshi gani la namna hiyo si bora uache hiyo kazi yao ukalime..!Wapo lockdown kuna mmoja ni mjeda ila muda mwingi anakuwaga home tunalewa wote full time ila tar 29 akawa bize akawa anakuja mara moja moja alivyoondoka tangu wiki iliyopita adi leo hajarudi na simu inaitaga tu
Hebu leta hapa ushahidi wa jeshi kuuwa polisi kusaidia wananchi…,Yeah ingawa watu tulitegemea JWTZ wamalize mchezo mapema sema ndiyo hivyo wametuangusha ingawa baadhi walifanya vizuri kutetea raia wasiuawe hovyo hovyo otherwise vifo vinge tripple.
haya sasa tahira kama tahira, vp kwaiyo dini yake hiyo inamruhusu kuua hovyo hovyo watu, pili magufuri alikuwa dini gn alikuwa mkatoliki je unajua aliwahi vutana sn na mapdri mfano padri niwemugiz mpk akasema raia, je wajua chadema na tundu lissu hawakuwahi mkubali magufuri mpk anakufa na ukumbuke lissu n mkatoliki magu naye mkatoliki, tatu je wanaompnga huyo mama yako nchi nzma ni wakatoliki? Nne madai ya wanaompnga yana msngi au hayana maana? Mk.undu weweNa sisi tunajua hii vita yenu na uyu mama ni sbbu ya dini yake tu hamjawai kuacha izo fitna miaka na miaka ndo maana na sisi tunamuunga mkono mbali na kua hatuipendi ccm,
Ngoja aje mkatoliki mwenzenu 2030 tuta wasapoti kumtoa.
Kwaio mkapa na magu dini zao ziliwaruhusu kuua k&ma wewe,haya sasa tahira kama tahira, vp kwaiyo dini yake hiyo inamruhusu kuua hovyo hovyo watu, pili magufuri alikuwa dini gn alikuwa mkatoliki je unajua aliwahi vutana sn na mapdri mfano padri niwemugiz mpk akasema raia, je wajua chadema na tundu lissu hawakuwahi mkubali magufuri mpk anakufa na ukumbuke lissu n mkatoliki magu naye mkatoliki, tatu je wanaompnga huyo mama yako nchi nzma ni wakatoliki? Nne madai ya wanaompnga yana msngi au hayana maana? Mk.undu wewe
Wewe unawasifia tu bure hawa labda kama siku hiyo ulikuwa ndaniSehemu yeyote walipokuwa JWTZ basi Magaidi wa Abdul walikuwa hawafanyi chochote na ikitokea wamefyatua risasi kwa raia basi ubongo wake ulikuwa mali ya JWTZ.
Nje ya nchiKwani yule jamaa anaishi Tanzania au nje ya nchi?
Hivi wanaruhusiwa kuacha kazi?wanaowagharimia wao na familia zao wameuliwa pasina sababu, na bado wanatishiwa halafu wao wanakubali hiyo lockdown, jeshi gani la namna hiyo si bora uache hiyo kazi yao ukalime..!
Kichaa huyo yaani bado analiona jeshi limefanya kazi ya maana siku hizoWewe unawasifia tu bure hawa labda kama siku hiyo ulikuwa ndani
Jeshi limekuwa butu yani mimi nimeona kabisa Polisi akipiga Raia na Wanajeshi wako wanaangalia tu na kuna maeneo hao hao wanajeshi walianza kupiga raia sasa hapa sijui unaongea ushubwada gani
Wewe si unajiita Samia, eat that iron 😋 💪 kula chuma hichoInafika sehemu naamini kuwa watu walioshika vyeo vikubwa kwenye serikali na dola sio. Wazalendo.
Hii inauma sana.
Mfano eti Mwigulu ni PM?.
Duh! Ben saanane alikuwa mwizi? TUNDU LISU zile risasi alikuwa mwizi? Vipi kuhusu alphonce mawazo chemu?Ukatili wa magufuli ni kushughulikia majizi basi huo ni ukatili mzuri sana
Hao walikua wanapambania nini mpaka wakapotea?Duh! Ben saanane alikuwa mwizi? TUNDU LISU zile risasi alikuwa mwizi? Vipi kuhusu alphonce mawazo chemu?
Mwigulu ni mzalendo huoni tai yake anayovaa?Inafika sehemu naamini kuwa watu walioshika vyeo vikubwa kwenye serikali na dola sio. Wazalendo.
Hii inauma sana.
Mfano eti Mwigulu ni PM?.
Tafuta historia zao sasa kama hujui usimtee mtu bila kufuatilia au fuatilia kifo cha dada yake jescaHao walikua wanapambania nini mpaka wakapotea?
Jibu swali walikua wanapambania nini kwenye hiyo awamu mpaka wakapotea na huyo lissu alikua anapambania nini mpaka kupigwa risasi?Tafuta historia zao sasa kama hujui usimtee mtu bila kufuatilia au fuatilia kifo cha dada yake jesca
Walikuwa mafisadiJibu swali walikua wanapambania nini kwenye hiyo awamu mpaka wakapotea na huyo lissu alikua anapambania nini mpaka kupigwa risasi?
Kama walikua mafisadi ni vizuri kupotezwa maana ni washenzi sanaWalikuwa mafisadi
Hakuna mtu analazimishwa kuendelea na kazi km akiamua kuacha..halafu wanajeshi hawaajiriwi..wanaandikishwa, hivyo kuacha kazi ni rahisi kabisa..kazi gani unaamrishwa kufanya jinai unakubali.Hivi wanaruhusiwa kuacha kazi?