Hivi kama JF ingekuwa ndo Serikali nani angekuwa Prezda, vice prezda,prime Minister, spika?

Mimi ni mgombea urais wa upinzani dhidi ya serikali yenu!
 
Wizara ya ulinzi na sheria kama ipo nipewe mimi. Najua huko nitaweza kukutana na lulu.Maana namtamani
 
nimechaguliwa kuchukua nafasi ya bi kiroboto na sina mpinzani, jiandaeni kwa mapanga ya posho sitaki mchezo,hali ya uchumi ni mbaya kwa kila Mtanzania.

Hahahahhahaaaa hadi perdiem private?
Lol tutaandamana hadi ushangae
Lol
 
kutokana na maoni ya wengi matokeo yapo hivi;
prezda- the boss
vice-king kong III
prime minister-kongosho
spika-angel msofe
w/mambo ya nje-erickb52
first lady- amyna
viti maalum-asha dii
w/fedha-excellence
w/ulinzi-preta
mwanasheria mkuu-Mussolin
 
kutokana na maoni ya wengi matokeo yapo hivi;
prezda- the boss
vice-king kong III
prime minister-kongosho
spika-angel msofe
w/mambo ya nje-erickb52
first lady- amyna
viti maalum-asha dii
w/fedha-excellence
w/ulinzi-preta
mwanasheria mkuu-Mussolin
Musolini unekosea sana sehemu ya Firstlady....
Amyner is my sweetlove...nampenda sana atakuwa mke wa waziri wa mambo ya nje....
Samahani....naomba marekebisho na pia nachukua nafasi hii kumpongeza Amyner mpenzi wangu kwa kuwa na sifa za kuwa mke wa Rais nikimaanisha mimi Eb52 nafaa kuwa Ptezidaa wa JF
 
Na waziri wa Teke la Kongosho Habari na Mwasiliano mngempa nani?
 

nimekusoma kaka..ila mwenyewe alipendekeza hyo kitu!
 
Ni bora ninyang'anywe uPM kuliko firstlady, first lady hachaguliwi na wananchi, huyo ni chaguo la Prezdaa.

Khah, yaani ashinde ulaisi afu mumletee nyumba ndogo? Mna utani na mie.
 
Ni bora ninyang'anywe uPM kuliko firstlady, first lady hachaguliwi na wananchi, huyo ni chaguo la Prezdaa.

Khah, yaani ashinde ulaisi afu mumletee nyumba ndogo? Mna utani na mie.

kwa hiyo unajiuzulu u-PM??
 
sijiuzulu, ila hamuwezi mpangia husband mke mwingine eti kisa mie nimechaguliwa PM, mbona Museven hakubadilishiwa mke baada ya yule mama kuwa waziri wa kitu fulani??

Mwacheni raisi atachagua first lady

kwa hiyo unajiuzulu u-PM??
 
subiri aliyetawadhwa sasa akipinduliwa ndo uanze kujipanga kuwa smoo hausi ya presidaa.

Vinginevyo, sijui, sijui.
Hapana mke wa rais huwa hampangii rais nyumba ndogo, na rais ili akili yake ichangamke anahitaji nyumba ndogo kama mimi, na hasa first lady akiwa haeleweki kabisaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…