Hivi kama mkuu wa usalama anahusishwa na na kashfa za ufisadi wa kupindukia, tunaweza sema bado tuna nchi?

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
16,480
Reaction score
38,367
Wakuu mimi kuna kitu bado sielewi, hivi inawezekana vipi huyu mtu kuwa na kashfa mpaka watoto wake kuanikwa hadharani anaweza vipi kulinda maslahi mapana ya nchi?

Kama yeye yuko hivyo vipi hao wa chini yake hali ikoje? Ina maana huko idarani ndo kumeoza kabisa kwa viwango hivi? Hivi bado tunaweza simama na kusema bado tuna taifa au ndo tushafika viwango kamili vya "Failed State"?
 
Sio yeye tu, Tunaanzia juu kabisa kwa Rais na rafiki zake Angela Kizigha, Wicknell Chivayo, Rostam Aziz na madili yao.

Hao wengine Mkuu wa Majeshi, JWTZ, Mkuu wa usalama, IGP wamehongwa kulinda usalama wa Rais na kuficha maovu yao ili waendelea kutumbua bila shida kodi za Watanganyika na kuuza rasilimali zao.
 
Sio yeye tu, Tunaanzia juu kabisa kwa Rais na rafiki zake Angela Kizigha, Wicknell Chivayo, Rostam Aziz na madili yao.

Hao wengine Mkuu wa Majeshi, JWTZ, Mkuu wa usalama, IGP wamehongwa kulinda usalama wa Rais na kuficha maovu yao.
Mkuu ujue tunategemea labda hawa wakuu wa vyombo ndo wadhibiti uhuni wa wanasiasa, sasa mambo yamekuwa kinyume kabisa, yan mpka mkuu wa TISS? Nani atawadhibiti hawa wahuni sasa?
 
Wakuu mimi kuna kitu bado sielewi, hivi inawezekana vipi huyu mtu kuwa na kashfa mpaka watoto wake kuanikwa hadharani anaweza vipi kulinda maslahi mapana ya nchi?
Kama yeye yuko hivyo vipi hao wa chini yake hali ikoje? Ina maana huko idarani ndo kumeoza kabisa kwa viwango hivi? Hivi bado tunaweza simama na kusema bado tuna taifa au ndo tushafika viwango kamili vya "Failed State"?
Hii nchi ishajifia ndugu
 
Back
Top Bottom