BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
Tuendelee kujifukiza na kuvaa barakoa.
Kwani yule wa polisi yeye yupoje?Wakuu mimi kuna kitu bado sielewi, hivi inawezekana vipi huyu mtu kuwa na kashfa mpaka watoto wake kuanikwa hadharani anaweza vipi kulinda maslahi mapana ya nchi?
Kama yeye yuko hivyo vipi hao wa chini yake hali ikoje? Ina maana huko idarani ndo kumeoza kabisa kwa viwango hivi? Hivi bado tunaweza simama na kusema bado tuna taifa au ndo tushafika viwango kamili vya "Failed State"?
Wapo wale wa chini ndio hupinduaga nchi. Traore hakuwa mkuu wa mmajeshi Ninaimani wazalendo wapo tu lolote lawezekanaTulitegemea ya Traore, lakini hamna Traore Tanzania.🥹
Inawapasa kulinda brand joh, sio kosa ila kuna baadhi ya nafasi za wazazi au walezi huathiri namna ya kuishi ya watoto.Write your reply...hivi ukiwa kiongozi wa taasisi za serikari familia yako ni mwiko kua matajiri hata kama utajiri wao wameupata kwa njia za halali?
nchi ya tanganyika ilipotea mwaka 1961Wakuu mimi kuna kitu bado sielewi, hivi inawezekana vipi huyu mtu kuwa na kashfa mpaka watoto wake kuanikwa hadharani anaweza vipi kulinda maslahi mapana ya nchi?
Kama yeye yuko hivyo vipi hao wa chini yake hali ikoje? Ina maana huko idarani ndo kumeoza kabisa kwa viwango hivi? Hivi bado tunaweza simama na kusema bado tuna taifa au ndo tushafika viwango kamili vya "Failed State"?
Is more of state capture, an entity imeteka vitengo muhim vya nchiHapa tuna failure state
Nilishasema hakuna usalama wa Taifa Tz ni genge la wahuni tuWakuu mimi kuna kitu bado sielewi, hivi inawezekana vipi huyu mtu kuwa na kashfa mpaka watoto wake kuanikwa hadharani anaweza vipi kulinda maslahi mapana ya nchi?
Kama yeye yuko hivyo vipi hao wa chini yake hali ikoje? Ina maana huko idarani ndo kumeoza kabisa kwa viwango hivi? Hivi bado tunaweza simama na kusema bado tuna taifa au ndo tushafika viwango kamili vya "Failed State"?
Ndugu hakuna anayechukia viongozi kuwa matajiri, ila lazima kama wanainchi tutilie shaka utajiri wa viongozi wetu unaopatikana katika mazingira ya mashaka mashaka...Write your reply...hivi ukiwa kiongozi wa taasisi za serikari familia yako ni mwiko kua matajiri hata kama utajiri wao wameupata kwa njia za halali?
tayari umeniita chawa inaonesha unasukumwa na chuki za kipumbavu.mtu kuonesha hena ni kuchezea? Umethitisha vip hizo hela kua za wizi?Ndugu hakuna anayechukia viongozi kuwa matajiri, ila lazima kama wanainchi tutilie shaka utajiri wa viongozi wetu unaopatikana katika mazingira ya mashaka mashaka...
Hakuna tajiri anayepata pesa kihalali kisha anawapa watoto wake wazichezee kama hao watoto wa Mombo wanavyofanya, hayupo...
Pesa za halali huwa hazichezewi hivyo tena nyingi kiasi hicho, mara nyingi pesa ambazo huwa zinachezewa hivyo ni zile ambazo zinapatikana kwenye mazingira yasiyotarajiwa tena bila jasho mfano kubeti,wizi,rushwa na ufisadi.
Tatizo lenu nyie machawa yaani mmeamua ku sacrifice ufahamu wenu hili kutetea ufisadi wote unaofanyika nchi hii, bila kuwa na consideration yoyote kwenye madhara yake, mnasikitisha sana.