Hivi kama mkuu wa usalama anahusishwa na na kashfa za ufisadi wa kupindukia, tunaweza sema bado tuna nchi?

Hivi kama mkuu wa usalama anahusishwa na na kashfa za ufisadi wa kupindukia, tunaweza sema bado tuna nchi?

Watanzania wako radhi kuandamana uchi kisa simba na yanga, kinachowakwaza hapo ni kupenyeza siasa kwenye mpira ila hawana uchungu na nchi...uza nchi unavyotaka ila waachie simba na yanga! Hao ndio watanzania
Waachie my wao, ila pia ukumbuke kuwapa ndege bure na bonus za hapa na pale. Usiwasahau sana 😂😂
 
Wakuu mimi kuna kitu bado sielewi, hivi inawezekana vipi huyu mtu kuwa na kashfa mpaka watoto wake kuanikwa hadharani anaweza vipi kulinda maslahi mapana ya nchi?
Kama yeye yuko hivyo vipi hao wa chini yake hali ikoje? Ina maana huko idarani ndo kumeoza kabisa kwa viwango hivi? Hivi bado tunaweza simama na kusema bado tuna taifa au ndo tushafika viwango kamili vya "Failed State"?
IKULU NI SEHEMU TAKATIFU SIYO PANGO LA WAISIHARAMU
 
Wakuu mimi kuna kitu bado sielewi, hivi inawezekana vipi huyu mtu kuwa na kashfa mpaka watoto wake kuanikwa hadharani anaweza vipi kulinda maslahi mapana ya nchi?
Kama yeye yuko hivyo vipi hao wa chini yake hali ikoje? Ina maana huko idarani ndo kumeoza kabisa kwa viwango hivi? Hivi bado tunaweza simama na kusema bado tuna taifa au ndo tushafika viwango kamili vya "Failed State"?
Mara nyingi naona Idara ya Usalama wa Taifa mnaipa hadhi ya juu kupita kiasi. Tuna ndugu na wazazi walioko humo, ukiwaanglia anyway lakini ukweli ni kwamba mnaipeleka mbali sana kuliko ilivyo. Usalama wa Taifa Tanzania ni tofauti kabisa na jinsi wengi wanavyofikiria, hasa katika zama hizi.
 
Ukiona hivi ujue huyo mjinga anachukiwa vibaya mno na watu wa chini yake ndiyo maana wanamuanika hivi, na siyo huyo tu wakuu wote wa vyombo vya dola wanachukiwa na wa chini yao kwa vile wao ndiyo washirika wa mtawala kuifisadi na kuibagaza Tanganyika, kusema kweli nchi imeiva kwa mapinduzi ya kijeshi.
 
Watanzania wako radhi kuandamana uchi kisa simba na yanga, kinachowakwaza hapo ni kupenyeza siasa kwenye mpira ila hawana uchungu na nchi...uza nchi unavyotaka ila waachie simba na yanga! Hao ndio watanzania
Sana sana Mashabiki wa Yanga akili zao huwa zinafikiria supu ya Bure tu
 
Hiyo TISS ilishakufa zamnaiiiiiiii sana.

Kwasasa ni Tawi la CCM damu damu, ikifuatiwa na Uhamiaji na Polisi.

Ma sasa hivi hizo taasisi zote mpka CCM imeshanunuliwa na kina Rostam na tapeli Singasinag
TISS ilitakiwa kua wizara ambayo ina kanuni na taratibu zake kwa maslahi ya nchi inakua huru inatambulika kikatiba inalindwa na katiba hiyo wizara DG anapatikana kwa kupendekezwa na CDF na sio jina moja majina yanakua hata 10 yanapelekwa Bungeni yanajadiliwa akipatika DG anaenda kuapishwa kwa Jaji mkuu basi Rais anabaki na PSU tu
 
TISS ilitakiwa kua wizara ambayo ina kanuni na taratibu zake kwa maslahi ya nchi inakua huru kama inatambulika kikatiba inalindwa katiba hiyo wizara DG majina 10 yanapendekezwa na CDF yanapelekwa Bungeni yanajadiliwa akipatika DG anaenda kuapishwa kwa Jaji mkuu basi
CDF na TISS ni taasisi mbili tofauti. CDF hapaswi kupendekeza jina la Mkurugenzi Mkuu wa TISS, kwa sababu hiyo si sehemu ya majukumu yake. Labda ungesema Baraza au Halmashauri ya Usalama wa Taifa.
 
CDF na TISS ni taasisi mbili tofauti. CDF hapaswi kupendekeza jina la Mkurugenzi Mkuu wa TISS, kwa sababu hiyo si sehemu ya majukumu yake. Labda ungesema Baraza au Halmashauri ya Usalama wa Taifa.
Yeye anapendekeza majina yanaletwa Bungeni kwa na Sheria inawekwa wazi kwamba bunge linaweza kukataa ayo majina pia yakaletwa mengine. Kuna baraza la Ulinzi na Usalama ila mwenyeki huwa ni CDF ndo maana nikasema CDF ndo alitakiwa kupendekeza majina
 
Sasa, iwapo CDF atakuwa na akili kama za Samia huoni kwamba hapo ndipo ilipo shida? Mchakato mzima unapaswa kuwa wa kitaasisi (decentralized) na kuendeshwa kwa umakini. Baraza la Ulinzi na Usalama linapaswa kukaa, kujadili na kuafikiana kwa pamoja majina ya wagombea, kisha kuyapeleka Bungeni kwa ajili ya kupitishwa.
 
Wazo zuri akipitishwa inatakiwa kuapishwa na Jaji mkuu
 
je yule binti ni mtoto wa Boss kweli ? anayejua vizuri naomba atudhibitishie ?
Kama siye wangeshakanusha;

Na hujamsikia yule DC mjinga Kasesera akisema tuache wivu??? Na Makonda akisema yeye hakuteuliwa kuwa kiongozi ili awe maskini? Na Rais akisema yeye siyo Rais wa Wanyonge?? Maana yake wote wanathibitisha kuwa uchafu unaoanikwa ni wa kweli lakini wanatafuta namna kusema kuwa si ajabu kiongozi kuwa na mali nyingi!

Na pia kufanya kitu wazungu wanaita “gaslighting”….kurusha lawama kwetu na kutufanya tujishuku kuwa sisi ni wajinga na wenye husuda
 
And you think sio mwanae?
Pamoja na kaka yake?
Unafikiri wanasingiziwa Kwa watt wa boss?
Sina maana hiyo mama utaniua maana yangu ni hii huyu DG wa Tiss kuna kipindi tuliambiwa amekufa wanamzika Tanga Je kama ni propaganda za wale waliokua wameeneza habari za yeye kufa wanamtengenezea ajali atoke hapo kwenye UDG mimi nakua na mawazo huru. Ila nakupenda sana😂😂
 
Back
Top Bottom