Hivi kama mkuu wa usalama anahusishwa na na kashfa za ufisadi wa kupindukia, tunaweza sema bado tuna nchi?

Hivi kama mkuu wa usalama anahusishwa na na kashfa za ufisadi wa kupindukia, tunaweza sema bado tuna nchi?

Mbaya sanaaa mtandao umewanunua wakuu wote vyombo ulinzi na usalama....unapewa 1Bil unachanganyikiwaaa Gwaji Boy sio mjinga hatuna nchi wala Jeshi....compromised.....Kagame anatucheka sanaa...Jk ni wa kum......RA pia....nchi itapumua..
 
Aliondolewa D1, akaondolewa aliyefuata, akaondolewa tena aliyefuata ndipo akaja huyu akaona is iwe tabu akakubaliana na mawazo ya kuitafuna nchi wawezavyo.

Hii nchi kwasasa Ccm mtandao ni kubwa kuliko chombo kingine chochote cha kutuokoa ni Mungu tu kuingilia kati maana hao usalama hawana meno yoyote ya kulinda rasilimali za taifa bali wana meno ya kuua na kupoteza wakosoaji wa wezi wa mali za nchi.
 
Ruhusa ilishatoka tena officially, watu wale kwa urefu wa kamba zao.
Unategemea nn hapo? Lol
nikiona watu wanalalama huwa najisemea tu, watz wagumu kuelewa, hv mwenye nyumba akisema humu ndani kila ktu ruksa wapangaji mna la kusema? ukiambiwa unawashwawashwa utasema umetukanwa?
 
Leo ndio nimemulewa Paul kagame aliposema anajua mpaka mpaka shuka analotandikiwa raisi,huyu mkuu wa usalama wa taifa hawezi kukataa mlungula Kwa taifa hasimu ili auze Siri za nchi.
Raisi mzanzibar ,usalama wa taifa mzanzibar unategemea nini?
Nchi ipo uchi tulikuwa tunawaamini walinda nchi na mipaka yake matokeo yake nao wamenunulika
 
Ajabu wale wawili walioteuliwa awamu hii hawakudumu ila huyu mwenye makandokando ya wazi kabisa anapeta tu sababu ana ushirika na mtoto pendwa!!
 
Wakuu mimi kuna kitu bado sielewi, hivi inawezekana vipi huyu mtu kuwa na kashfa mpaka watoto wake kuanikwa hadharani anaweza vipi kulinda maslahi mapana ya nchi?
Kama yeye yuko hivyo vipi hao wa chini yake hali ikoje? Ina maana huko idarani ndo kumeoza kabisa kwa viwango hivi? Hivi bado tunaweza simama na kusema bado tuna taifa au ndo tushafika viwango kamili vya "Failed State"?

Wasichojua viongozi wetu tangu Tanganyika ilipokabidhiwa Uhuru miaka 63 iliyopita. Akili zao pamoja na mioyo yao watu weusi wameumbwa kutokuwa na roho ya "sympathy ubinadamu" kwa watu mtu yoyote, jamii yoyote mpaka kwa mwananchi wowote. Wasichokijua hawa viongozi wetu no ulimbukweni hizo fedha wanazoiba na kujilimbikizia kila siku. Sio fedha za malipo ya KAZI au ajira zenye baraka ya kazi za mikono ya majasho yao ni fedha za Laana walizowaibia wananchi ambao ni walipakodi maskini wasiojua hatima ya maisha yao wanaishi kwenye Dhiki.
 
tayari umeniita chawa inaonesha unasukumwa na chuki za kipumbavu.mtu kuonesha hena ni kuchezea? Umethitisha vip hizo hela kua za wizi?
Wewe ni mseng.e na huna akili, haya endelea kutetea majizi ambao wako bize wanaitafuna nchi mpaka hela zingine hawajui wazifanyie nini... wakati huo wewe unashinda humu mitandaoni huna mbele wala nyuma na bibi yako huko kijijini kwenu anakunya vichakani hana hata choo, akienda kwenye zahanati ya kijiji kutibiwa anaambiwa hakuna dawa.

Majitu kama wewe ni cancer kwenye taifa hili.
 
Wakuu mimi kuna kitu bado sielewi, hivi inawezekana vipi huyu mtu kuwa na kashfa mpaka watoto wake kuanikwa hadharani anaweza vipi kulinda maslahi mapana ya nchi?
Kama yeye yuko hivyo vipi hao wa chini yake hali ikoje? Ina maana huko idarani ndo kumeoza kabisa kwa viwango hivi? Hivi bado tunaweza simama na kusema bado tuna taifa au ndo tushafika viwango kamili vya "Failed State"?
Nchi au genge? Upuuzi mtupu
 
Wahuni sio watu wanamnunua yeyote, wamemnunua IGP wanaye mfukoni, wamemnunua CDF wanae mfukoni,wamemnunua DGTISS wanaye mfukoni, wamewanunua wakuu wote wa mihimili na mihimili yao yote wanao mifukoni mwao sasa hapo bado mnasema kuna watetezi wa watanganyika? Ndio maana wanajisikia kuwateka, kuwaua na kuwaibia watakavyo huku wakiwakejeli.slogani yao kuu, kila binadamu kazaliwa kwa ajili yake mwenyewe na si kwa ajili ya mwingine hivyo jiwekeze mwenyewe wengine hawakuhusu ,husika na wanao kuhusu tu.
 
Wewe ni mseng.e na huna akili, haya endelea kutetea majizi ambao wako bize wanaitafuna nchi mpaka hela zingine hawajui wazifanyie nini... wakati huo wewe unashinda humu mitandaoni huna mbele wala nyuma na bibi yako huko kijijini kwenu anakunya vichakani hana hata choo, akienda kwenye zahanati ya kijiji kutibiwa anaambiwa hakuna dawa.

Majitu kama wewe ni cancer kwenye taifa hili.
Muhimbu, post: 55047056, member: 732839muulize mama yako nilijuaje kua ana kisimi kerefu kama firimbi ya mgambo
 
Mkuu ujue tunategemea labda hawa wakuu wa vyombo ndo wadhibiti uhuni wa wanasiasa, sasa mambo yamekuwa kinyume kabisa, yan mpka mkuu wa TISS? Nani atawadhibiti hawa wahuni sasa?
Huyo mkuu wa kitengo anateuliwa na nani?
 
Wakuu mimi kuna kitu bado sielewi, hivi inawezekana vipi huyu mtu kuwa na kashfa mpaka watoto wake kuanikwa hadharani anaweza vipi kulinda maslahi mapana ya nchi?
Kama yeye yuko hivyo vipi hao wa chini yake hali ikoje? Ina maana huko idarani ndo kumeoza kabisa kwa viwango hivi? Hivi bado tunaweza simama na kusema bado tuna taifa au ndo tushafika viwango kamili vya "Failed State"?
Hiyo TISS ilishakufa zamnaiiiiiiii sana.

Kwasasa ni Tawi la CCM damu damu, ikifuatiwa na Uhamiaji na Polisi.

Na sasa hivi hizo taasisi zote mpaka CCM imeshanunuliwa na kina Rostam na tapeli Singasinga
 
Hiyo TISS ilishakufa zamnaiiiiiiii sana.

Kwasasa ni Tawi la CCM damu damu, ikifuatiwa na Uhamiaji na Polisi.

Ma sasa hivi hizo taasisi zote mpka CCM imeshanunuliwa na kina Rostam na tapeli Singasinag

Aisee basi hali ni mbaya sana!
 
Siasa kila mahali.

Ligi ishaanza hivyo, muda wa siasa hautakuwepo ni mwendo wa simba yanga, mbosso, zuchu na daimondi.

Na sio wananchi hawajui, wanajua vizuri tu.
Ukicheki mpira bar au banda umiza utaona jinsi watu hawapendezwi za siasa za bongo hasa zinavyohusishwa na michezo.

Ila ndio hivyo, bado hatujafikia ile climax, ila mi naamini itafika tu.
Watanzania wako radhi kuandamana uchi kisa simba na yanga, kinachowakwaza hapo ni kupenyeza siasa kwenye mpira ila hawana uchungu na nchi...uza nchi unavyotaka ila waachie simba na yanga! Hao ndio watanzania
 
Aisee ni hatari sana, kuna mambo yanaogopesha!
kawaida tu mkuu, mtoto wa gaddafi alikuwa anatoka libya kwa private jet kwenda kucheza kamari france, japo mshua wake aliwafanyia walibya mambo makubwa sana.

MBS aliteketeza 5m usd kwa usiku 1 akiwa us.

kawaida tu mkuu, siye kajamba nani ndo tunaona hatari.
 
nikiona watu wanalalama huwa najisemea tu, watz wagumu kuelewa, hv mwenye nyumba akisema humu ndani kila ktu ruksa wapangaji mna la kusema? ukiambiwa unawashwawashwa utasema umetukanwa?
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom