Wakuu mimi kuna kitu bado sielewi, hivi inawezekana vipi huyu mtu kuwa na kashfa mpaka watoto wake kuanikwa hadharani anaweza vipi kulinda maslahi mapana ya nchi?
Kama yeye yuko hivyo vipi hao wa chini yake hali ikoje? Ina maana huko idarani ndo kumeoza kabisa kwa viwango hivi? Hivi bado tunaweza simama na kusema bado tuna taifa au ndo tushafika viwango kamili vya "Failed State"?
Utajiri ni nini? Tuanzie hapo kwanza. Ukiiba pesa za Uma na kuonesha ufahari au ukahatika kwenye mchezo wa kubahatisha au kamari utakuwa tajiri?Write your reply...hivi ukiwa kiongozi wa taasisi za serikari familia yako ni mwiko kua matajiri hata kama utajiri wao wameupata kwa njia za halali?
Hawa ndio wa kuanza nao, ni kunyonga hadi kufa... Hawa chawa ndio wanawapa kiburi waliopo juu, tukishawamaliza chawa ndipo tunaendelea na waliopo ngazi za juu...Wewe ni mseng.e na huna akili, haya endelea kutetea majizi ambao wako bize wanaitafuna nchi mpaka hela zingine hawajui wazifanyie nini... wakati huo wewe unashinda humu mitandaoni huna mbele wala nyuma na bibi yako huko kijijini kwenu anakunya vichakani hana hata choo, akienda kwenye zahanati ya kijiji kutibiwa anaambiwa hakuna dawa.
Majitu kama wewe ni cancer kwenye taifa hili.
Hio Libya ipo wapi Leo?kawaida tu mkuu, mtoto wa gaddafi alikuwa anatoka libya kwa private jet kwenda kucheza kamari france, japo mshua wake aliwafanyia walibya mambo makubwa sana.
MBS aliteketeza 5m usd kwa usiku 1 akiwa us.
kawaida tu mkuu, siye kajamba nani ndo tunaona hatari.
Tofautisha hizi pichaUnataka uthinitisho upi ndugu? Usitafutue wenzio matatizo
Kasome vzr Kwa mange kule utajua tu
Hayupo wa kuwadhibiti, anayewatetea fyoko fyoko anatekwa.Mkuu ujue tunategemea labda hawa wakuu wa vyombo ndo wadhibiti uhuni wa wanasiasa, sasa mambo yamekuwa kinyume kabisa, yan mpka mkuu wa TISS? Nani atawadhibiti hawa wahuni sasa?
Kwanza kabisa, elewa dhambi ni relative, hutegemea tafsiri, muktadha,..........naweza kusema kuwa hakuna dhambi bali tafNawazaga Sisi binadamu ni Wanyama tunaotumia akili mana hata Hao Wanyama wa mbugani wanauana tuseme ni NATURE basi na Sisi tukiuana ni NATURE pia.
Hii inafikilisha Sana kama Kweli Moto WA Dhambi upo.
wewe una akili timamu kuona dully akisukuma ndinga ya 2b wakat hana biashara ya uwezo huo? we unautimamu kupewa dole la kati na kabint kanakodaiwa ni ka mkuu wa tiss halafu unaogopa serikali hyo chafu, takataka kupinduliwa? una akili timamu kwel?Hio Libya ipo wapi Leo?
Hizo ndizo sababu zilifanya Libya ikaanguka, ilitengeneza chuki kwa raia na adui akatumia hio nafasi...
Wananchi wakaangusha serikali...
Leo hakuna uzalendo, akitomea adui Kila mmoja atakuwa upande wa adui ili kazi iwe nyepesi kuiangusha serikali... Si wananchi wala jeshi...
Unaonq kawaida? Hivi una akili timamu?
Tulitegemea ya Traore, lakini hamna Traore Tanzania.🥹
Nchi yetu haina mfumo mzuri ( na umevurugwa kwa makusudi) wa kuwafanyia watu kama huyo mazee kitu twaita "Security Clearance And Vetting Procedure" ambayo kama haifuatwi kikamilifu basi nchi hukosa "Spy chief" wa maana.Wakuu mimi kuna kitu bado sielewi, hivi inawezekana vipi huyu mtu kuwa na kashfa mpaka watoto wake kuanikwa hadharani anaweza vipi kulinda maslahi mapana ya nchi?
Kama yeye yuko hivyo vipi hao wa chini yake hali ikoje? Ina maana huko idarani ndo kumeoza kabisa kwa viwango hivi? Hivi bado tunaweza simama na kusema bado tuna taifa au ndo tushafika viwango kamili vya "Failed State"?
***** una unajua maana ya kuchezea? Au umekariri kuchezea mbususu ya mama yako ilio kauka kama half cake?Chawa pro max bibi yako anaweza kuchezea manoti namna ile yaliyopatikana kihalali?
Huyo CDF mwenyewe zero kabisaTISS ilitakiwa kua wizara ambayo ina kanuni na taratibu zake kwa maslahi ya nchi inakua huru inatambulika kikatiba inalindwa na katiba hiyo wizara DG anapatikana kwa kupendekezwa na CDF na sio jina moja majina yanakua hata 10 yanapelekwa Bungeni yanajadiliwa akipatika DG anaenda kuapishwa kwa Jaji mkuu basi Rais anabaki na PSU tu
Bunge lenyewe ni hili kila mgombea amepangwa na wahuni.Yeye anapendekeza majina yanaletwa Bungeni kwa na Sheria inawekwa wazi kwamba bunge linaweza kukataa ayo majina pia yakaletwa mengine. Kuna baraza la Ulinzi na Usalama ila mwenyeki huwa ni CDF ndo maana nikasema CDF ndo alitakiwa kupendekeza majina