MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Wewe kilichokutoa ni hiyo fani yako ya UCHAGA.. Usichanganye mambo.sio veta.ampeleke gereji ya magari akajifunze umeme wa magari hyo fani inalipa sana tena ina pesa kuliko mtu anaefanya kazi ofisini. mimi nilikataa shule nikapelekwa gereji mpaka nimekuwa fundi mzuri tu. na nina vitega uchumi vingi nyumba3 hapa dar na nyumbani kwetu moshi nimejenga pia. nimewafundisha vjana wengi na nimewatoa na wana maisha mazuri tu nafamilia zao