Hivi kama wewe ni mzazi/ mlezi unachukua hatua au maamuzi gani endapo mtoto wako anakataa kwenda shule?

Wewe kilichokutoa ni hiyo fani yako ya UCHAGA.. Usichanganye mambo.
 
Wewe ulivyokuwa kama yeye ulikuwa unapenda shule? Mama yake naye alikuwa anapenda shule? ....vya kurithi vinazidi. Mpeleke shule za jeshi kama Jitegemee na Makongo atanyooka. Kama upo Arusha mpeleke Makuyuni boyz.
 
Acha kutesa akili peleka shamba huyo pigisha kazi alale huku amesahau kufumba macho tumatuma hovyo punguza offa kwake treat kama mtoto wakike sa kumi na mbili ndani kama hajarud tandika na mpira wa baskeli
 
Anza na ushauri nasaha ( counselling).
 
Mawazo yangu sifikilii kabisa kuwa mtoto wangu wa kuzaa kabisa aje aniambie hataki shule anataka kukaa nyumbani utakuwa mwisho wangu wa kukaa uraiani
 
Sababu kakuona fala ndo maana anakataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…