Inawezekana mkuu make mambo yanabadirika Ila sifa za namna hiyo kariakoo ishawah pitia ...kitu kingine ukiachilia mbal mdororo wa uchumi sa hv office za kisasa zipo karbia kila sehemu , Kias kwamba mtu sio lazima awe na office kariakoo , anaweza panga , mbezi beach , Moroco , upanga, mwenge , kijitonyama n.k office za kisasa na wateja wake akawapata mtandaoni na akawaelekeza alipo ....hii pia imepunguza popularity ya kariakoo Kwa Kias fulanSiyo kariakoo ya 2021
Inategemea na biashara gn huko Dodoma, ila mimi nina boss wangu anauza taa za urembo juzi kanunua vanguard mpya kabisaDodoma ipi unayozungumzia , kuna watu wapo Dodoma wananiambia niwataftie frem DSM right now , biashara ni za msimu kule zinategemea vyuo, vikao vya Bunge na jiwe arande rande huko
Dodoma bussness zinazohusu ujenzi Tu utamake hela , sababu ya watu kujenga Kwa forceful action ya serikali, the rest utaachakaaa mapema mnoInategemea na biashara gn huko Dodoma, ila mimi nina boss wangu anauza taa za urembo juzi kanunua vanguard mpya kabisa
Acha uzumbukuku na wewe ukute hiyo kariakoo yenyewe unaijua kwa kuisoma humu humu JF.Iyo kariakoo ya mwaka gani ndugu maana sasa ivi ukipita unakuta fremu nyingi zimefungwa
Tutajie mtaa ambao kuna flame 2 mpaka 3 zimefungwa hazina watu.Kama unataka fremu kariakoo niambie, tukutane asubui nikupeleke kwa jamaa pasipo hata dalali wala kutoa hata mia ndugu.mkuu usifanye utani na hali ya sasa ndugu ukafananisha na enzi za JAKAYA maana naona wengi mmekalili.
Acheni kujipa moyo eti hali ni mbaya hapo k.koo kuna hadi frame ukitaka kumvua mtu kama Huna 95m kuendelea hupat frame na hiyo ni kilemba ...K.koo bado biashara ipo ...sema kitaa watu waliochoka wanatafutia pa kusuuza nafsi zaoKwa biashara ipi!!??
Zama hizi
Mm nna ushaidi k.koo lile jengo la infinix frame za pale barabarani wanapouza simu ..kuna mwamba alitoa 30m kupata frame ...Mkuu mbona kama hii ni chai, una ushahidi wa mtu aliyelipa 35m Kumtoa mtu kwenye frem akalipa bei ya pango tena??
Wapi zimefungwa Acha ushabiki ...au usikute unapitaga k.koo saa 11 Asubuh sana hapo lazima ukute zote zimefungwa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Iyo kariakoo ya mwaka gani ndugu maana sasa ivi ukipita unakuta fremu nyingi zimefungwa
Sikatai na kweli nimeona maana Dodoma napafahamu vizuri, Ila mkuu mimi naona Dodoma watu wana i overate sanaa, bado sijaona mazingira ya dodoma kuizidi Dar kwa mzunguko wa pesa katika biashara,Wanasoma kwenye vitabu vya history.ila ukija kwenye ukweli wala haipo ivyo kabisa.sasa ivi watu wanapiga pesa Dodoma huko ila hapa Dar ni njaa tu
Mwenyewe hilo la fremu k.koo kufungwa kwa kukosa wateja sijwahi shuhudia..Wapi zimefungwa Acha ushabiki ...au usikute unapitaga k.koo saa 11 Asubuh sana hapo lazima ukute zote zimefungwa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kukuachia kvp mkuu, fafanua.Wakuu fremu bado ni ngumu kupata sehemu iliyochangamka asikudanganye mtu , hasa Kwa DSM , mbezi stand ya daladala Tu kupata Tu Banda la kukodi ni tena ndani humo kwenye vibanda ni 200k tena la kiboya Tu , goba pale center mpak 500k sembuse kariakoo.... Kariakoo mtu kukwachia Tu fremu si chini ya 35mil wanaita kumvua kilemba ....
Unazungumzia mti mmoja, mm nazungumzia shamba la mitiAcheni kujipa moyo eti hali ni mbaya hapo k.koo kuna hadi frame ukitaka kumvua mtu kama Huna 95m kuendelea hupat frame na hiyo ni kilemba ...K.koo bado biashara ipo ...sema kitaa watu waliochoka wanatafutia pa kusuuza nafsi zao
Hao wanaokuambia eti biashara zinakufa kwa kasi wengi ni watu wa vijiweni nenda mwenyewe kafanye research
...Nimecheka ulivyomalizia mwisho vya kuwapiga Congo wazee wetu ,ambao hawakujenga frame kariakoo![emoji16]Nina classmate wangu ambaye ni marafiki sanaa,
Baba yao alijenga mjengo wa kupangisha biashara k.koo,
Alishafariki, yule jamaa ile chain nzima ya ka family kao, kila katikati ya mwezi ana uhakika wa 5M..
No wonder aliacha shule, watu wakasema sana ikiwemo walimu anachezea maisha, ila njemba mpaka leo ni bata tuu, na hakuna mazingira ya hizo laana kumpata.
Kuna wazee waliwekeza banaaa,
Wengine bahati mbaya walipambana ila mambo tuu hayakua upande wao BIG up kwao pia.
Achana na hawa waliokua wamelala asaivi wanaong'ang'ania ukali kumbe stress za njaa na madeni, kwa kupenda kufoka mpaka koo limekauka, mda wote anaongea kama kapaliwa na ukoko,
Kidogo tuu anakutishia laana, Bahati nzuri hazishiki, wangetumaliza hawa wazee bila sababu, Anaweza aage anaenda kutafuta kumbe anawaachia msala wa madeni,
mkuu kuna wakinga na waha wanalipa kariakoo kuna watu wana hela sanaKhaaaaaa......
Kuniachia kale kachumba nikupe 35M????
Halafu nianze tena kodi??? Mimi kama nimekufuata ukanitajia hivyo naweza nianguke kwa mshtuko.
Dodoma sifahamu ila Kariakoo biashara imebadilikaWanasoma kwenye vitabu vya history.ila ukija kwenye ukweli wala haipo ivyo kabisa.sasa ivi watu wanapiga pesa Dodoma huko ila hapa Dar ni njaa tu
Ahsante mdogo wangu. Nakupenda pia.
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Nakazia.Sikatai na kweli nimeona maana Dodoma napafahamu vizuri, Ila mkuu mimi naona Dodoma watu wana i overate sanaa, bado sijaona mazingira ya dodoma kuizidi Dar kwa mzunguko wa pesa katika biashara,
Labda tutumie logic ya kua dodoma biashara ni dili kwa sasa sababu uhitaji ni mkubwa na wawekezaji bado ni wachache, na hasa uhitaji mkubwa ni pale mjini tuuu.
Dodoma wenyewe karibuni wote bidhaa wanachukulia Dar...
Dodoma kuishusha Dar kibiashara specifically ilala hilo sizani kama kizazi chetu hiki kitalishuhudia, japo sikatai ya kua Ikitoka Ilala & Temeke sasahivi inafuatia Dodoma Jiji..
Ila kimikoa kabisa, Hata hio nafasi ya pili Dodoma hashiki.