Hivi Kibongobongo ni msanii gani ni mbabe yaani 'Ngumi Jiwe' zaidi ya wote?

Wale wajomba wasikie tu nivile wakina Pina walivuma tu

Ila majamaa wabishi hatar
Bou aliwahi pigana na Broh wangu kabisa pale uwanja wa basket Soweto karibu na goli la juu...akaja Afande mmoja tukajua atawaamua, akawaambia raia waacheni...!

Jamaa walipigana kuanzia saa 8 ile mpk saa 10 hawaamuliwi baadae utasema wamepata ajali, Broh akaamua kusepa...[emoji23][emoji23] na bado wale madogo wa junior Nako wakawa wanamkimbiza ikabidi tubebe mawe sasa, wakarudi kaloleni pale Bronx kijiweni kwao....!
 
Bro wako alichakaa sana kwa damu?
 
Kati ya uliwataja wengine ni hiphop ndio huwafanya kujiona wababe lakini hamna kitu akiwemo Ney. Wenye mafunzo rasmi ya Karate na wengine boxing ni hawa kati ya uliotaja ...

Zola D
Kalapina
Dudu Baya
bou nako
lord eyes
Watu wanaojua ngumi kweli wala hawajioneshagi sana...hapo wenye uwezo wa kusimama na bishoo MB Dogg (kabla ya umaarufu) labda wawili tena kwasababu ni mabaunsa sana [emoji38]...zola d sidhani kama ana formal training ya kupigana Ila nishiaona ana mmudu professional fighter tena kiraisi tu...jamaa ni jitu kubwa sana.
 
Bou aliwahi pigana na Broh wangu kabisa pale uwanja wa basket Soweto karibu na goli la juu...akaja Afande mmoja tukajua atawaamua, akawaambia raia waacheni...!

Jamaa walipigana kuanzia saa 8 ile mpk saa 10 hawaamuliwi baadae utasema wamepata ajali, Broh akaamua kusepa...[emoji23][emoji23] na bado wale madogo wa junior Nako wakawa wanamkimbiza ikabidi tubebe mawe sasa, wakarudi kaloleni pale Bronx kijiweni kwao....!
hahahah eti utadhan wamepata ajali...kwa hiyo kwa kifupi bro wako alidundwa??
 
Watu wanaojua ngumi kweli wala hawajioneshagi sana...hapo wenye uwezo wa kusimama na bishoo MB Dogg (kabla ya umaarufu) labda wawili tena kwasababu ni mabaunsa sana [emoji38]...zola d sidhani kama ana formal training ya kupigana Ila nishiaona ana mmudu professional fighter tena kiraisi tu...jamaa ni jitu kubwa sana.
mb dog huyu huyu??
 
Lord kwao wote ngumi na ugomvi umelala Lord ni mtemi na nusu unavo mwona Bou na Lord yuko mara 2 yake ana mdogo wake anae mfata tall hivi kwenye swala la ngumi hatari nilisha mshuhudia Arusha kwenye varangat lake moja club aliwakalisha watemi wakaomba Mungu
Mzee baba bunduki ndio mbabe wa wote
 
Hivi tukiongelea ubabe, ununda, kiasi kwa akianzisha varangati hakuna msanii mwenzake atakayemuweza..yaani ukimchokoza tu anafunga mtaa.

Huku mtaani kuna hawa jamaa wanatajwa sana

Zola D
Kalapina
Nay wa Mitego
Profesa Jay
Chid Benz
Dudu Baya
bou nako
p funky
fido Vato
lord eyes

Wewe unahisi nani ni fire?

Mimi hapo naona Kalapina na Pfunky hao jamaa yaani ni Dakika mbili Mbele dakika sifuri unakula Ngumi.
 
Kuna skendo ilizungukaga mtaani kwamba kikosi cha mizinga walimtoa marinda mwana hip hop moja baada ya kuwatukana
Sio kweli, walimteka solo thang na kumpa kichapo ila hawakufikia kwenye marinda
 
Back
Top Bottom