Hivi Kibongobongo ni msanii gani ni mbabe yaani 'Ngumi Jiwe' zaidi ya wote?

Hivi Kibongobongo ni msanii gani ni mbabe yaani 'Ngumi Jiwe' zaidi ya wote?

Afande Sele alilambwa makofi na P Funk halafu yeye ndio akaomba samahani. Yaani hii sio haki kabisa.
kwa kipindi hicho ilikuwa lazima afanye hivyo bongo record ndio ilikuwa lazima ugonge bit hapo ngoma ifanye poa pia majani alikuwa na vihela vya kusumbua,alikuwa na kiburi kinyama
 
Kuna ambao wako fit ila sio watata hata kidogo mfano zola d.
Nadhani post ilitaka ambao watata, yaani ngumi mkononi.
Iwe hivi;
  • Bou Nako
  • Kala pina
  • P Funk
  • Fido Vato
  • Chid Benz(yule wa zamani)
  • Dudubaya
Hao watu ni watata sana na ni wakorofi by nature, ukizingua tu wala hawacheleweshi kurusha ngumi.
Kwan kuna chid benz wawili??
 
Zola d kwenye ngumi yuko vizuri
Na anajua wengine wote fake

Ova
 
Back
Top Bottom