Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Bou aliwahi pigana na Broh wangu kabisa pale uwanja wa basket Soweto karibu na goli la juu...akaja Afande mmoja tukajua atawaamua, akawaambia raia waacheni...!Wale wajomba wasikie tu nivile wakina Pina walivuma tu
Ila majamaa wabishi hatar
Jamaa walipigana kuanzia saa 8 ile mpk saa 10 hawaamuliwi baadae utasema wamepata ajali, Broh akaamua kusepa...[emoji23][emoji23] na bado wale madogo wa junior Nako wakawa wanamkimbiza ikabidi tubebe mawe sasa, wakarudi kaloleni pale Bronx kijiweni kwao....!