Bou aliwahi pigana na Broh wangu kabisa pale uwanja wa basket Soweto karibu na goli la juu...akaja Afande mmoja tukajua atawaamua, akawaambia raia waacheni...!Wale wajomba wasikie tu nivile wakina Pina walivuma tu
Ila majamaa wabishi hatar
Bro wako alichakaa sana kwa damu?Bou aliwahi pigana na Broh wangu kabisa pale uwanja wa basket Soweto karibu na goli la juu...akaja Afande mmoja tukajua atawaamua, akawaambia raia waacheni...!
Jamaa walipigana kuanzia saa 8 ile mpk saa 10 hawaamuliwi baadae utasema wamepata ajali, Broh akaamua kusepa...[emoji23][emoji23] na bado wale madogo wa junior Nako wakawa wanamkimbiza ikabidi tubebe mawe sasa, wakarudi kaloleni pale Bronx kijiweni kwao....!
Alipigika ila Abou nae pale alipo ana alama na alipata shughuli piaBro wako alichakaa sana kwa damu?
Watu wanaojua ngumi kweli wala hawajioneshagi sana...hapo wenye uwezo wa kusimama na bishoo MB Dogg (kabla ya umaarufu) labda wawili tena kwasababu ni mabaunsa sana [emoji38]...zola d sidhani kama ana formal training ya kupigana Ila nishiaona ana mmudu professional fighter tena kiraisi tu...jamaa ni jitu kubwa sana.Kati ya uliwataja wengine ni hiphop ndio huwafanya kujiona wababe lakini hamna kitu akiwemo Ney. Wenye mafunzo rasmi ya Karate na wengine boxing ni hawa kati ya uliotaja ...
Zola D
Kalapina
Dudu Baya
bou nako
lord eyes
kwa tumiguu tupi kwanza twa kuanzisha hilo vagi !!Mmh kwa mond hapo chai..
hahahah eti utadhan wamepata ajali...kwa hiyo kwa kifupi bro wako alidundwa??Bou aliwahi pigana na Broh wangu kabisa pale uwanja wa basket Soweto karibu na goli la juu...akaja Afande mmoja tukajua atawaamua, akawaambia raia waacheni...!
Jamaa walipigana kuanzia saa 8 ile mpk saa 10 hawaamuliwi baadae utasema wamepata ajali, Broh akaamua kusepa...[emoji23][emoji23] na bado wale madogo wa junior Nako wakawa wanamkimbiza ikabidi tubebe mawe sasa, wakarudi kaloleni pale Bronx kijiweni kwao....!
mb dog huyu huyu??Watu wanaojua ngumi kweli wala hawajioneshagi sana...hapo wenye uwezo wa kusimama na bishoo MB Dogg (kabla ya umaarufu) labda wawili tena kwasababu ni mabaunsa sana [emoji38]...zola d sidhani kama ana formal training ya kupigana Ila nishiaona ana mmudu professional fighter tena kiraisi tu...jamaa ni jitu kubwa sana.
sema kweliRoma, huyu noma
Mzee baba bunduki ndio mbabe wa woteLord kwao wote ngumi na ugomvi umelala Lord ni mtemi na nusu unavo mwona Bou na Lord yuko mara 2 yake ana mdogo wake anae mfata tall hivi kwenye swala la ngumi hatari nilisha mshuhudia Arusha kwenye varangat lake moja club aliwakalisha watemi wakaomba Mungu
bunduki ndio naniMzee baba bunduki ndio mbabe wa wote
Hivi tukiongelea ubabe, ununda, kiasi kwa akianzisha varangati hakuna msanii mwenzake atakayemuweza..yaani ukimchokoza tu anafunga mtaa.
Huku mtaani kuna hawa jamaa wanatajwa sana
Zola D
Kalapina
Nay wa Mitego
Profesa Jay
Chid Benz
Dudu Baya
bou nako
p funky
fido Vato
lord eyes
Wewe unahisi nani ni fire?
Mzee baba bunduki ndio mbabe wa wote
hatari fireMimi hapo naona Kalapina na Pfunky hao jamaa yaani ni Dakika mbili Mbele dakika sifuri unakula Ngumi.
mmh kwny kr mulah hapo..nilikuwa sijui...tupe kidogo nyama1. Kala Pina
2. Zola D
3. KR Mulla
We nenda Temeke uone varangati lake.mmh kwny kr mulah hapo..nilikuwa sijui...tupe kidogo nyama
anapigana na nanWe nenda Temeke uone varangati lake.
kwa tumiguu tupi kwanza twa kuanzisha hilo vagi !!
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile appteh teh
hahahakwa tumiguu tupi kwanza twa kuanzisha hilo vagi !!
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile appteh teh
Sio kweli, walimteka solo thang na kumpa kichapo ila hawakufikia kwenye marindaKuna skendo ilizungukaga mtaani kwamba kikosi cha mizinga walimtoa marinda mwana hip hop moja baada ya kuwatukana