Hivi Kibongobongo ni msanii gani ni mbabe yaani 'Ngumi Jiwe' zaidi ya wote?

Hivi Kibongobongo ni msanii gani ni mbabe yaani 'Ngumi Jiwe' zaidi ya wote?

Hivi tukiongelea ubabe, ununda, kiasi kwa akianzisha varangati hakuna msanii mwenzake atakayemuweza..yaani ukimchokoza tu anafunga mtaa.

Huku mtaani kuna hawa jamaa wanatajwa sana

Zola D
Kalapina
Nay wa Mitego
Profesa Jay
Chid Benz
Dudu Baya
bou nako
p funky
fido Vato
lord eyes

Wewe unahisi nani ni fire?
Hili Dudubaya si ndilo lilitaka kukaua ka Mr. Nice? Ila Professa J maskini ameugua siku hizi hana tena! Mungu aendelee kumpigania aisee!
 
Hivi tukiongelea ubabe, ununda, kiasi kwa akianzisha varangati hakuna msanii mwenzake atakayemuweza..yaani ukimchokoza tu anafunga mtaa.

Huku mtaani kuna hawa jamaa wanatajwa sana

Zola D
Kalapina
Nay wa Mitego
Profesa Jay
Chid Benz
Dudu Baya
bou nako
p funky
fido Vato
lord eyes

Wewe unahisi nani ni fire?
Ao ote ata upepo unawarusha umewela tu wala unga
 
Back
Top Bottom