Hivi kikawaida sijui hapa tuchukue hatua gani dhidi ya huyu mchungaji...

Pole sana Mkuu.
Mimi ni mkristo ila mambo ya kuombewaombewa hasa kuwekewa mikono kizembezembe na watu wasioeleweka sipendi kabisa.

Watu wenyewe hawaeleweki asipokuangusha ukaumia, anawezakukuachia maroho ya ajabu ajabu.

Mambo ni Bluetooth, untouch kabisa. No hands over my head.
juzi nimeona nabii kawa ronaldo anatoa mapepo kwa kuwapiga chenga waumini
 
Ahsante chief..Na kwa hil uko sahihi kabisaa.
 
juzi nimeona nabii kawa ronaldo anatoa mapepo kwa kuwapiga chenga waumini
Ahahahahah...i saw that too... very idiotic worships..Mimi huwez nikuta session za kishemz shenz kama Ile..nikienda kanisani huwa napenda kuheshimu sana muda wangu. Nina mambo mengi sana yanayohitaji muda wangu sasa nije ibadan uniletee ufala fala kama ule hutaniona tena
 
Makanisa ya kina mama na watoto, ukienda uko kua tayari kuanguka vinginevyo unajitafutia ulemavu. Imewah nikuta pia niialikwa na mchungaji A badae akaja mchungaj B asiejua misimamo yangu nusu tukunjane na vijana wake.

"Na kwel, tukapewa rufaa Muhimbili, shukrani sana sana sana kwa mtaalamu wa mifupa pale Moi, dokta Lupondo. Japo tulilazimika pia kumuhonga ila kupata huduma ila tunashukuru Mungu pale Muhimbili ilitugharimu million 10."
UMENIKWAZA SANA UMEMDHARIRISHA DOCTOR NA UMEMTIA HATIA, HUKUWAZA HILO?
 
Kabila sijamalizia kusoma mkuu,rekebisha, Mimi ni mlutheri niliyetokea RC
Ni kkkt!
Nasali kkkt kimara korogwe Kwa mchungaji W.Mastai.
Mi sio wa makanisa ya kilokole!
Rekebisha mtumishi
Ni mchungaji ndio. Wa haya makanisa ya kilokole haya ya akina Tayana-wog . Kiukwel nimesikitishwa na kushikwa na hasira kwa wakati mmoja.

Ni mama yangu mkubwa kabisaa yamemtokea.
Ni kwel sikatai hakulazimishwa kwenda huko kusali lakini ndio hivyo tena mambo ya imani (magumu sana).
Jana wakiwa katika vipindi cha maombi , mchungaji anapita anapiga maombi huku waumini nao wanagonga prayers ki individual kukemea shetani.

Mchungaji akawa anaweka mikono kwa watu tofauti tofaut randomly.
Akafika kwa aunt anamuwekea mikono huku anakemea pepo (tulivyoambiwa na wahusika) sasa ile kuona muumini yuko stable haanguki ,inaonekana akatumia nguvu kama kumpushi (hii hata mimi naijua, nilishawahi kukutana nayo, pastor akiona huanguki anakupush backward, hata sijui logic yake huwa nini?).

Sasa kwakua aunt ni mtu mzima (sana) akakoshindwa kustahimili msukumo akaona kama anataka kuanguka. Sasa haraka haraka akawa anatafuta pozi ili akae kwenye kiti (cha plastic) kilicho nyuma yake, akakosea timing..TATIZO LIKATOKEA.

Akaanguka kwa kutulia makalio ila ndio habar ikaishia hapo , akawa hawez kuamka. Kumbe inaonekana alifikia kiupande akakalia/akaangukia nyonga. MAUMIVU SI YA KITOTO.

Aunt alishapata shida kama hii miaka mi 3 nyuma akiwa nyumba akijikwaa akavunjika nyonga barabarani. Na ni mimi ndiye nilimchukua nikiwa na mwanaye wa kike (mdogo angu) tukamkimbiza Regency Medical Centre. Pale kwakua kuna watu najuana nao, nikashauriwa baada ya vipimo kwamba mgonjwa wetu apelekwe Muhimbili kwakua pale ghatama zitakua nafuu maana kwa Regency ,operation ile ingetugharimu milion 20 kwakua ni private. Ma hata kama ana bima, ingeweza ku cover not more than 9 millions.

Na kwel, tukapewa rufaa Muhimbili, shukrani sana sana sana kwa mtaalamu wa mifupa pale Moi, dokta Lupondo. Japo tulilazimika pia kumuhonga ila kupata huduma ila tunashukuru Mungu pale Muhimbili ilitugharimu million 10.

Hiz pesa tulikamuana wana ndugu ili kufanikisha hili zoezi kwakua aunt ana watoto wadogo bado hawana uwezo kiuchumi.
HAYA SASA MCHUNGAJI KALIZUA TENA.
Na maza amasema kabisaa anahis hali kama ile ya miaka ileee ila sasa ni mguu mwingine. Ameanza vipimo vya awali leo na kama wana ndugu tumekaa mkao wa kula matumbo joto kujua donei kias gani itahitajika na JANUARY yoote hii.

Kwakwel binafsi makosa majibu, huyu mchungaji tumfanye kitu gani?? Maana kikawaida hatuna namna ya kumtia hatian kwa mujibu wa sheria.

am sorry kwa uzi mrefu.

Nimemaliza
 
Ukiwa kama Great Thinker,ulitakiwa umshauri mapema alivyoanza kwenda kwenye hayo makanisa ya wahuni manabii uchwara,na hapo ukute hana pesa maana yote alikuwa anaipeleka kwa hao manabii uchwara,poleni lakini pambaneni
 
Tayana-wog ndiye Mlokole wa ukweli na hudai yeye na ulokole ni mate na ulimi....

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana mkuu! Changamoto kama hz nazielewa sana.........ishu ya Imani ni ngumu sana kumsaidia mtu!

January hii na hizi gharama sio powa kbs tena Regency mziki wao nauelewa nlipelekwa Sina fahamu baada ya lisaa naamka bili haitamaniki
 
Mtoa rushwa na mpokea rushwa wote ni...., usirudie tena kuweka hadharani inshu hizo maana waweza kumuharibia maisha Mtu bila kukusudia.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Tayana-wog ndiye Mlokole wa ukweli na hudai yeye na ulokole ni mate na ulimi....

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Khaaa kumekucha
Nimedai wapi tena mkuu?🤣🤣🤣

Jmn huu ulokole unachukuliwaje sijui,mimi Nina muamini Kristo,ni mfuasi wa Kristo!
Niondoleeni hizi lebo nyingine hazina issue ....
 
Ahahahahah...i saw that too... very idiotic worships..Mimi huwez nikuta session za kishemz shenz kama Ile..nikienda kanisani huwa napenda kuheshimu sana muda wangu. Nina mambo mengi sana yanayohitaji muda wangu sasa nije ibadan uniletee ufala fala kama ule hutaniona tena
Halafu nimeshindwa nichangie nn
Sitaki kuchuma dhambi!

Ila shida ya aunt Yako ilimkuta mama yangu mzazi last year!
Kwa mara ya kwanza mama alikuwa analia km mtt
Akikaa utafikiri mzima
Kusimama,kutembea ilikuwa mziki aisee!
Hatuna dada,nani atakaa ampikie? Na vitu vingine,maana hawezi ht sogeza mguu!
Na ninatakiwa niende kongamano Dodoma,Bado 2days!

Aloo achana na kitu Imani!
Ni story ingine,ila nilisafiri kwenda kongamano Dodoma la waombaji siku narudi amepona mpk Leo!
Usicheze na meza ya Bwana!(rc na kkkt) hapa mtaelewa vzr
(Mwili na damu ya Yesu) ukielewa like fumbo,ukipata neema ya kufundishwa,au ufunuo wake,hutachikulia poa,kushiriki Kwa mazoea!
 
Ni mchungaji ndio. Wa haya makanisa ya kilokole haya ya akina Tayana-wog . Kiukwel nimesikitishwa na kushikwa na hasira kwa wakati mmoja.

Ni mama yangu mkubwa kabisaa yamemtokea.
Ni kwel sikatai hakulazimishwa kwenda huko kusali lakini ndio hivyo tena mambo ya imani (magumu sana).
Jana wakiwa katika vipindi cha maombi , mchungaji anapita anapiga maombi huku waumini nao wanagonga prayers ki individual kukemea shetani.

Mchungaji akawa anaweka mikono kwa watu tofauti tofaut randomly.
Akafika kwa aunt anamuwekea mikono huku anakemea pepo (tulivyoambiwa na wahusika) sasa ile kuona muumini yuko stable haanguki ,inaonekana akatumia nguvu kama kumpushi (hii hata mimi naijua, nilishawahi kukutana nayo, pastor akiona huanguki anakupush backward, hata sijui logic yake huwa nini?).

Sasa kwakua aunt ni mtu mzima (sana) akakoshindwa kustahimili msukumo akaona kama anataka kuanguka. Sasa haraka haraka akawa anatafuta pozi ili akae kwenye kiti (cha plastic) kilicho nyuma yake, akakosea timing..TATIZO LIKATOKEA.

Akaanguka kwa kutulia makalio ila ndio habar ikaishia hapo , akawa hawez kuamka. Kumbe inaonekana alifikia kiupande akakalia/akaangukia nyonga. MAUMIVU SI YA KITOTO.

Aunt alishapata shida kama hii miaka mi 3 nyuma akiwa nyumba akijikwaa akavunjika nyonga barabarani. Na ni mimi ndiye nilimchukua nikiwa na mwanaye wa kike (mdogo angu) tukamkimbiza Regency Medical Centre. Pale kwakua kuna watu najuana nao, nikashauriwa baada ya vipimo kwamba mgonjwa wetu apelekwe Muhimbili kwakua pale ghatama zitakua nafuu maana kwa Regency ,operation ile ingetugharimu milion 20 kwakua ni private. Ma hata kama ana bima, ingeweza ku cover not more than 9 millions.

Na kwel, tukapewa rufaa Muhimbili, shukrani sana sana sana kwa mtaalamu wa mifupa pale Moi, dokta Lupondo. Japo tulilazimika pia kumuhonga ila kupata huduma ila tunashukuru Mungu pale Muhimbili ilitugharimu million 10.

Hiz pesa tulikamuana wana ndugu ili kufanikisha hili zoezi kwakua aunt ana watoto wadogo bado hawana uwezo kiuchumi.
HAYA SASA MCHUNGAJI KALIZUA TENA.
Na maza amasema kabisaa anahis hali kama ile ya miaka ileee ila sasa ni mguu mwingine. Ameanza vipimo vya awali leo na kama wana ndugu tumekaa mkao wa kula matumbo joto kujua donei kias gani itahitajika na JANUARY yoote hii.

Kwakwel binafsi makosa majibu, huyu mchungaji tumfanye kitu gani?? Maana kikawaida hatuna namna ya kumtia hatian kwa mujibu wa sheria.

am sorry kwa uzi mrefu.

Nimemaliza
Pole sana kwa Aunt yangu. Kitu cha kujifunza sasa hv Mungu huyu ukimuendea kwa unyenyekevu mwenyewe kumuomba anasikia, Mithali 8:17. Wala huitaji msaidizi sijui hadi uombewe sijui mafuta yaani hayo ni utapeli mtu.

Istoshe mimi sipendi kuwekewa mikono wengine ndio wanachukua nyota yako so sitaki hata kusikia habari hizo. Huyu kama mchungaji kweli amuombee aunty apone, alaf tumieni zile dawa za asili za kurudisha nyonga nadhani watu wa Bukoba na wahaya wanajua hizi dawaa
 
Back
Top Bottom