juzi nimeona nabii kawa ronaldo anatoa mapepo kwa kuwapiga chenga wauminiPole sana Mkuu.
Mimi ni mkristo ila mambo ya kuombewaombewa hasa kuwekewa mikono kizembezembe na watu wasioeleweka sipendi kabisa.
Watu wenyewe hawaeleweki asipokuangusha ukaumia, anawezakukuachia maroho ya ajabu ajabu.
Mambo ni Bluetooth, untouch kabisa. No hands over my head.
Ahsante chief..Na kwa hil uko sahihi kabisaa.Pole sana Mkuu.
Mimi ni mkristo ila mambo ya kuombewaombewa hasa kuwekewa mikono kizembezembe na watu wasioeleweka sipendi kabisa.
Watu wenyewe hawaeleweki asipokuangusha ukaumia, anawezakukuachia maroho ya ajabu ajabu.
Mambo ni Bluetooth, untouch kabisa. No hands over my head.
Ahahahahah...i saw that too... very idiotic worships..Mimi huwez nikuta session za kishemz shenz kama Ile..nikienda kanisani huwa napenda kuheshimu sana muda wangu. Nina mambo mengi sana yanayohitaji muda wangu sasa nije ibadan uniletee ufala fala kama ule hutaniona tenajuzi nimeona nabii kawa ronaldo anatoa mapepo kwa kuwapiga chenga waumini
Ni mchungaji ndio. Wa haya makanisa ya kilokole haya ya akina Tayana-wog . Kiukwel nimesikitishwa na kushikwa na hasira kwa wakati mmoja.
Ni mama yangu mkubwa kabisaa yamemtokea.
Ni kwel sikatai hakulazimishwa kwenda huko kusali lakini ndio hivyo tena mambo ya imani (magumu sana).
Jana wakiwa katika vipindi cha maombi , mchungaji anapita anapiga maombi huku waumini nao wanagonga prayers ki individual kukemea shetani.
Mchungaji akawa anaweka mikono kwa watu tofauti tofaut randomly.
Akafika kwa aunt anamuwekea mikono huku anakemea pepo (tulivyoambiwa na wahusika) sasa ile kuona muumini yuko stable haanguki ,inaonekana akatumia nguvu kama kumpushi (hii hata mimi naijua, nilishawahi kukutana nayo, pastor akiona huanguki anakupush backward, hata sijui logic yake huwa nini?).
Sasa kwakua aunt ni mtu mzima (sana) akakoshindwa kustahimili msukumo akaona kama anataka kuanguka. Sasa haraka haraka akawa anatafuta pozi ili akae kwenye kiti (cha plastic) kilicho nyuma yake, akakosea timing..TATIZO LIKATOKEA.
Akaanguka kwa kutulia makalio ila ndio habar ikaishia hapo , akawa hawez kuamka. Kumbe inaonekana alifikia kiupande akakalia/akaangukia nyonga. MAUMIVU SI YA KITOTO.
Aunt alishapata shida kama hii miaka mi 3 nyuma akiwa nyumba akijikwaa akavunjika nyonga barabarani. Na ni mimi ndiye nilimchukua nikiwa na mwanaye wa kike (mdogo angu) tukamkimbiza Regency Medical Centre. Pale kwakua kuna watu najuana nao, nikashauriwa baada ya vipimo kwamba mgonjwa wetu apelekwe Muhimbili kwakua pale ghatama zitakua nafuu maana kwa Regency ,operation ile ingetugharimu milion 20 kwakua ni private. Ma hata kama ana bima, ingeweza ku cover not more than 9 millions.
Na kwel, tukapewa rufaa Muhimbili, shukrani sana sana sana kwa mtaalamu wa mifupa pale Moi, dokta Lupondo. Japo tulilazimika pia kumuhonga ila kupata huduma ila tunashukuru Mungu pale Muhimbili ilitugharimu million 10.
Hiz pesa tulikamuana wana ndugu ili kufanikisha hili zoezi kwakua aunt ana watoto wadogo bado hawana uwezo kiuchumi.
HAYA SASA MCHUNGAJI KALIZUA TENA.
Na maza amasema kabisaa anahis hali kama ile ya miaka ileee ila sasa ni mguu mwingine. Ameanza vipimo vya awali leo na kama wana ndugu tumekaa mkao wa kula matumbo joto kujua donei kias gani itahitajika na JANUARY yoote hii.
Kwakwel binafsi makosa majibu, huyu mchungaji tumfanye kitu gani?? Maana kikawaida hatuna namna ya kumtia hatian kwa mujibu wa sheria.
am sorry kwa uzi mrefu.
Nimemaliza
Ukiwa kama Great Thinker,ulitakiwa umshauri mapema alivyoanza kwenda kwenye hayo makanisa ya wahuni manabii uchwara,na hapo ukute hana pesa maana yote alikuwa anaipeleka kwa hao manabii uchwara,poleni lakini pambaneniNi mchungaji ndio. Wa haya makanisa ya kilokole haya ya akina Tayana-wog . Kiukwel nimesikitishwa na kushikwa na hasira kwa wakati mmoja.
Ni mama yangu mkubwa kabisaa yamemtokea.
Ni kwel sikatai hakulazimishwa kwenda huko kusali lakini ndio hivyo tena mambo ya imani (magumu sana).
Jana wakiwa katika vipindi cha maombi , mchungaji anapita anapiga maombi huku waumini nao wanagonga prayers ki individual kukemea shetani.
Mchungaji akawa anaweka mikono kwa watu tofauti tofaut randomly.
Akafika kwa aunt anamuwekea mikono huku anakemea pepo (tulivyoambiwa na wahusika) sasa ile kuona muumini yuko stable haanguki ,inaonekana akatumia nguvu kama kumpushi (hii hata mimi naijua, nilishawahi kukutana nayo, pastor akiona huanguki anakupush backward, hata sijui logic yake huwa nini?).
Sasa kwakua aunt ni mtu mzima (sana) akakoshindwa kustahimili msukumo akaona kama anataka kuanguka. Sasa haraka haraka akawa anatafuta pozi ili akae kwenye kiti (cha plastic) kilicho nyuma yake, akakosea timing..TATIZO LIKATOKEA.
Akaanguka kwa kutulia makalio ila ndio habar ikaishia hapo , akawa hawez kuamka. Kumbe inaonekana alifikia kiupande akakalia/akaangukia nyonga. MAUMIVU SI YA KITOTO.
Aunt alishapata shida kama hii miaka mi 3 nyuma akiwa nyumba akijikwaa akavunjika nyonga barabarani. Na ni mimi ndiye nilimchukua nikiwa na mwanaye wa kike (mdogo angu) tukamkimbiza Regency Medical Centre. Pale kwakua kuna watu najuana nao, nikashauriwa baada ya vipimo kwamba mgonjwa wetu apelekwe Muhimbili kwakua pale ghatama zitakua nafuu maana kwa Regency ,operation ile ingetugharimu milion 20 kwakua ni private. Ma hata kama ana bima, ingeweza ku cover not more than 9 millions.
Na kwel, tukapewa rufaa Muhimbili, shukrani sana sana sana kwa mtaalamu wa mifupa pale Moi, dokta Lupondo. Japo tulilazimika pia kumuhonga ila kupata huduma ila tunashukuru Mungu pale Muhimbili ilitugharimu million 10.
Hiz pesa tulikamuana wana ndugu ili kufanikisha hili zoezi kwakua aunt ana watoto wadogo bado hawana uwezo kiuchumi.
HAYA SASA MCHUNGAJI KALIZUA TENA.
Na maza amasema kabisaa anahis hali kama ile ya miaka ileee ila sasa ni mguu mwingine. Ameanza vipimo vya awali leo na kama wana ndugu tumekaa mkao wa kula matumbo joto kujua donei kias gani itahitajika na JANUARY yoote hii.
Kwakwel binafsi makosa majibu, huyu mchungaji tumfanye kitu gani?? Maana kikawaida hatuna namna ya kumtia hatian kwa mujibu wa sheria.
am sorry kwa uzi mrefu.
Nimemaliza
Tayana-wog ndiye Mlokole wa ukweli na hudai yeye na ulokole ni mate na ulimi....Ni mchungaji ndio. Wa haya makanisa ya kilokole haya ya akina Tayana-wog . Kiukwel nimesikitishwa na kushikwa na hasira kwa wakati mmoja.

Mtoa rushwa na mpokea rushwa wote ni...., usirudie tena kuweka hadharani inshu hizo maana waweza kumuharibia maisha Mtu bila kukusudia.Ni mchungaji ndio. Wa haya makanisa ya kilokole haya ya akina Tayana-wog . Kiukwel nimesikitishwa na kushikwa na hasira kwa wakati mmoja.
Ni mama yangu mkubwa kabisaa yamemtokea.
Ni kwel sikatai hakulazimishwa kwenda huko kusali lakini ndio hivyo tena mambo ya imani (magumu sana).
Jana wakiwa katika vipindi cha maombi , mchungaji anapita anapiga maombi huku waumini nao wanagonga prayers ki individual kukemea shetani.
Mchungaji akawa anaweka mikono kwa watu tofauti tofaut randomly.
Akafika kwa aunt anamuwekea mikono huku anakemea pepo (tulivyoambiwa na wahusika) sasa ile kuona muumini yuko stable haanguki ,inaonekana akatumia nguvu kama kumpushi (hii hata mimi naijua, nilishawahi kukutana nayo, pastor akiona huanguki anakupush backward, hata sijui logic yake huwa nini?).
Sasa kwakua aunt ni mtu mzima (sana) akakoshindwa kustahimili msukumo akaona kama anataka kuanguka. Sasa haraka haraka akawa anatafuta pozi ili akae kwenye kiti (cha plastic) kilicho nyuma yake, akakosea timing..TATIZO LIKATOKEA.
Akaanguka kwa kutulia makalio ila ndio habar ikaishia hapo , akawa hawez kuamka. Kumbe inaonekana alifikia kiupande akakalia/akaangukia nyonga. MAUMIVU SI YA KITOTO.
Aunt alishapata shida kama hii miaka mi 3 nyuma akiwa nyumba akijikwaa akavunjika nyonga barabarani. Na ni mimi ndiye nilimchukua nikiwa na mwanaye wa kike (mdogo angu) tukamkimbiza Regency Medical Centre. Pale kwakua kuna watu najuana nao, nikashauriwa baada ya vipimo kwamba mgonjwa wetu apelekwe Muhimbili kwakua pale ghatama zitakua nafuu maana kwa Regency ,operation ile ingetugharimu milion 20 kwakua ni private. Ma hata kama ana bima, ingeweza ku cover not more than 9 millions.
Na kwel, tukapewa rufaa Muhimbili, shukrani sana sana sana kwa mtaalamu wa mifupa pale Moi, dokta Lupondo. Japo tulilazimika pia kumuhonga ila kupata huduma ila tunashukuru Mungu pale Muhimbili ilitugharimu million 10.
Hiz pesa tulikamuana wana ndugu ili kufanikisha hili zoezi kwakua aunt ana watoto wadogo bado hawana uwezo kiuchumi.
HAYA SASA MCHUNGAJI KALIZUA TENA.
Na maza amasema kabisaa anahis hali kama ile ya miaka ileee ila sasa ni mguu mwingine. Ameanza vipimo vya awali leo na kama wana ndugu tumekaa mkao wa kula matumbo joto kujua donei kias gani itahitajika na JANUARY yoote hii.
Kwakwel binafsi makosa majibu, huyu mchungaji tumfanye kitu gani?? Maana kikawaida hatuna namna ya kumtia hatian kwa mujibu wa sheria.
am sorry kwa uzi mrefu.
Nimemaliza
DuhSI Wewe TU mwenye maumivu,,,,yupo mwingine humu jf, yeye anauza maembe mjini anamtumia Hela Maza kijijini,nae anzipeleka Kwa mchungaji.View attachment 2880850
Mchungaji gani huyo, video yake i wapi Boss?juzi nimeona nabii kawa ronaldo anatoa mapepo kwa kuwapiga chenga waumini
Mtumishi yyt wa Mungu wa kweli hatumii nguvu,sbb sio yeye ni nguvu za MunguUmenikumbusha zamani aisee
Hivi kwann wanalazimisha mtu aanguke wanakusukuma kabisa
Poleni sana
Khaaa kumekuchaTayana-wog ndiye Mlokole wa ukweli na hudai yeye na ulokole ni mate na ulimi....
Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kama watu hawaanguki raia hawaelewiUmenikumbusha zamani aisee
Hivi kwann wanalazimisha mtu aanguke wanakusukuma kabisa
Poleni sana
Halafu nimeshindwa nichangie nnAhahahahah...i saw that too... very idiotic worships..Mimi huwez nikuta session za kishemz shenz kama Ile..nikienda kanisani huwa napenda kuheshimu sana muda wangu. Nina mambo mengi sana yanayohitaji muda wangu sasa nije ibadan uniletee ufala fala kama ule hutaniona tena
Halafu mtu kufunguliwa sio lzm uanguke!Kama watu hawaanguki raia hawaelewi
Pole sana kwa Aunt yangu. Kitu cha kujifunza sasa hv Mungu huyu ukimuendea kwa unyenyekevu mwenyewe kumuomba anasikia, Mithali 8:17. Wala huitaji msaidizi sijui hadi uombewe sijui mafuta yaani hayo ni utapeli mtu.Ni mchungaji ndio. Wa haya makanisa ya kilokole haya ya akina Tayana-wog . Kiukwel nimesikitishwa na kushikwa na hasira kwa wakati mmoja.
Ni mama yangu mkubwa kabisaa yamemtokea.
Ni kwel sikatai hakulazimishwa kwenda huko kusali lakini ndio hivyo tena mambo ya imani (magumu sana).
Jana wakiwa katika vipindi cha maombi , mchungaji anapita anapiga maombi huku waumini nao wanagonga prayers ki individual kukemea shetani.
Mchungaji akawa anaweka mikono kwa watu tofauti tofaut randomly.
Akafika kwa aunt anamuwekea mikono huku anakemea pepo (tulivyoambiwa na wahusika) sasa ile kuona muumini yuko stable haanguki ,inaonekana akatumia nguvu kama kumpushi (hii hata mimi naijua, nilishawahi kukutana nayo, pastor akiona huanguki anakupush backward, hata sijui logic yake huwa nini?).
Sasa kwakua aunt ni mtu mzima (sana) akakoshindwa kustahimili msukumo akaona kama anataka kuanguka. Sasa haraka haraka akawa anatafuta pozi ili akae kwenye kiti (cha plastic) kilicho nyuma yake, akakosea timing..TATIZO LIKATOKEA.
Akaanguka kwa kutulia makalio ila ndio habar ikaishia hapo , akawa hawez kuamka. Kumbe inaonekana alifikia kiupande akakalia/akaangukia nyonga. MAUMIVU SI YA KITOTO.
Aunt alishapata shida kama hii miaka mi 3 nyuma akiwa nyumba akijikwaa akavunjika nyonga barabarani. Na ni mimi ndiye nilimchukua nikiwa na mwanaye wa kike (mdogo angu) tukamkimbiza Regency Medical Centre. Pale kwakua kuna watu najuana nao, nikashauriwa baada ya vipimo kwamba mgonjwa wetu apelekwe Muhimbili kwakua pale ghatama zitakua nafuu maana kwa Regency ,operation ile ingetugharimu milion 20 kwakua ni private. Ma hata kama ana bima, ingeweza ku cover not more than 9 millions.
Na kwel, tukapewa rufaa Muhimbili, shukrani sana sana sana kwa mtaalamu wa mifupa pale Moi, dokta Lupondo. Japo tulilazimika pia kumuhonga ila kupata huduma ila tunashukuru Mungu pale Muhimbili ilitugharimu million 10.
Hiz pesa tulikamuana wana ndugu ili kufanikisha hili zoezi kwakua aunt ana watoto wadogo bado hawana uwezo kiuchumi.
HAYA SASA MCHUNGAJI KALIZUA TENA.
Na maza amasema kabisaa anahis hali kama ile ya miaka ileee ila sasa ni mguu mwingine. Ameanza vipimo vya awali leo na kama wana ndugu tumekaa mkao wa kula matumbo joto kujua donei kias gani itahitajika na JANUARY yoote hii.
Kwakwel binafsi makosa majibu, huyu mchungaji tumfanye kitu gani?? Maana kikawaida hatuna namna ya kumtia hatian kwa mujibu wa sheria.
am sorry kwa uzi mrefu.
Nimemaliza
🙏meza ya Bwana!(rc na kkkt)
Aisee wanaoangukaga sijui kama ni kwel🤔mbn marafiki zangu hawaangukagiHalafu mtu kufunguliwa sio lzm uanguke!
Watu wanahitaji shule ya kiroho!
Though kuanguka ni symbol ila sio lzm