Hivi kikawaida sijui hapa tuchukue hatua gani dhidi ya huyu mchungaji...

Kwanini umemtaja jina dr lupondo pia uka ainisha kuwa ulimhonga ..... unalengo gani ndugu mwandishi
Dr wenu hana huruma,anaomba rushwa hadi kwa wagonjwa, na bado wamelipa bili ya 10M, Watumishi tuhurumieni jamani, ndiyo tunawapa rushwa lakini rohoni tunaumia sana!!
 
Na cha ajabu Mgonjwa wenu akipata nafuu kidogo lazima atarudi tena kwa Mchungaji wake! Wanawake na Wachungaji ni kama Chatu na Mbwa!!
SAfar hii i believe atakua ame learn a lesson
 
Dr wenu hana huruma,anaomba rushwa hadi kwa wagonjwa, na bado wamelipa bili ya 10M, Watumishi tuhurumieni jamani, ndiyo tunawapa rushwa lakini rohoni tunaumia sana!!
Acha tu nikae kimya ila hiz hospital za serikal ndugu usipokua makin, unakufa unajiona.Hakyanani tena usipowapa kitu hawa wanakuona jeuri (maana wanakutengenezea mazimgira kabisa uelewe kinachotakiwa) mje ya hapo unakufa kama Mungu wako asipokuhurimia.

Mshkaji wangu enzi hizo alipata ajal akavunjika vibaya mguu akalazwa 2 months muhimbili Moi wamemfunga p.o.p. baada ya miez miwil wamesharud iringa hukoo aliambiwa atagungua tu hospital yoyote, siku ya kufungua mguu uko vile vile kana kwamba alifungwa kitambaa tu.. alikufa mchiz.

Sasa haya tukiyaongea tunaonekana wanoko wajuaji.
 
Kumwajibisha Mchungaji ni ngumu sana.
Chukua mfano wa mch. Mackenzie wa Kenya aliyefungisha na kusababisha watu zaidi ya 400 kufa na kuwafukia kwenye msitu wa shakahola, ameshtakiwa kwa kuua bila kukusudia.!
Hapo mumlaumu huyo anti kwa kuangushwa na mapepo bila kukusudia.
 
"miaka mi 3 nyuma akiwa nyumba akijikwaa akavunjika nyonga barabarani", weka vizuri hapa, ni nyumbani au barabarani!
 
Yaan kisa cha kumtafuta Mungu ndo ikugharimu shilingi milion 10 daah biblia inasema "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
 
Acha niwe mtazamaji tu!

Yaan miaka yote sijawahi ona naowajua wakipata miujiza inayoonekana mfano alikua anatembea kwa magongo baada ya maombezi akatoka nduki bila msaada wa magongo
Hahaha, pole
Ila wapo ,tena Wala hawakuguswa,nguvu za Mungu ziliwatembelea wakatupa magongo.
 
Jmn mi mlutheri,nimemwambia arekebishe huo Uzi wake!
😅
Halafu mi siwezi mpa huyo mch.hiyo kesi maana sijui kwakweli
 
Kuna mtu aliongea haya sitamahangaa,ila sio wewe!
Btw,kwani ulokole una shida Gani? Tuanzie hapo kwanza?
Kwasbb haijalishi upo dhehebu Gani kuwa na Yesu ni jambo binafsi na mhimu, tunahubiri watu waje Kwa Yesu!,lkn pia kuomba au mtumishi kuombea watu Kuna shida Gani?
Maana Bado sijaelewa point Yako?
Nn kimekua installed? Kutoka wapi?
Nachojua kuomba ni suala la Kila muamini!
Kuombewa pia Kuna ubaya?Yesu aliagiza ,pozeni wagonjwa,nk we unajua hili,sa shida Iko wapi?

Kila mmoja hapa duniani ameitwa Kwa kusudi lake,huduma 5 unazijua, kwahiyo mtu anapokua anatembea kwenye kusudi lake na maelekezo yake ya namna ya kutimiza hilo kusudi ht km Yuko ndani ya taasisi ndo mnasema ame instaly vitu kutoka sehem nyingine 🤷
Hakuna anaemiliki maombi,maombezi,ulokole etc......
Taratibu za dini/madhehebu zimetuharibu na kumfungia Mungu kwenye aina Fulani za utaratibu, which is very wrong, hata hizo Taratibu unazoziona ni sahivi zimewekwa na mwanadamu mmoja aliyepata revelation Fulani....
 
Umewakana walokole vibaya sana akutake radhi sio[emoji1][emoji1]
Anachanganya mambo 😅
Mi sisali hayo makanisa!
Shida watu wamekariri, yaani km unasali rc, kkkt,morovian, Anglican,etc kwani huwezi kuokoka?

Wokovu hauhusiani na unasali wapi, ni kitu binafsi ambacho hakihusiani na unasali wapi!
 
Anachanganya mambo 😅
Mi sisali hayo makanisa!
Shida watu wamekariri, yaani km unasali rc, kkkt,morovian, Anglican,etc kwani huwezi kuokoka?

Wokovu hauhusiani na unasali wapi, ni kitu binafsi ambacho hakihusiani na unasali wapi!
🧑‍💻
 
Uko sahihi chief
 
"miaka mi 3 nyuma akiwa nyumba akijikwaa akavunjika nyonga barabarani", weka vizuri hapa, ni nyumbani au barabarani!
Nilikua namaanisha akiwa katika harakat za nyumbani ..alikua ametoka mara 1 kwenda dukan ile kinyumbam nyumbn.

Narekebisha
 
Not serious bwana
 
ingekua mimi ningemfata huyo mchungaji atajua yeye kama atamponya atamubea au atampeleka hospital vinginevyo mchungaji a jiandae kutrend
Si aombewe ,ndo alichofuata huko sasa ninyi mnampeleka wapi ?
 
Dr wenu hana huruma,anaomba rushwa hadi kwa wagonjwa, na bado wamelipa bili ya 10M, Watumishi tuhurumieni jamani, ndiyo tunawapa rushwa lakini rohoni tunaumia sana!!
Asa angemuwekea uzi wake ....ili tujue moja maana hapa ameanza na mchungaji pia angemripoti pale pale mambo sikuizi yamerahisishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…