William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Nani mmiliki wa hii studio???
View attachment 566736
- Hivi ni baadhi ya vifaa tunavyovifunga kwenye our new Studio, so relax boss soon utatupata sana online, hahahahaha eti unajua bei ya hivi vifaa?
le Mutuz
Anatingisha matako tuu uwanjani
View attachment 566741
- kama sio mimi utakuwa wewe au unasemaje? hahahahaha tuseme ni wewe hahahahahahhaa
le Mutuz
Anzeni kutangaza sasa, na sio kutuwekea vifaa tu hapa, kwanza unaweza kua umepiga picha za hizo kamera na isiwe kweli, maana wewe huaminiki
View attachment 566746
- yaani unataka niaminike na wewe unayetumia majina ya bandia na picha ya bandia? hahahahahahaha
le Mutuz
Mawazo ni jina langu kwel we mzeee....
namuona akirukaruka tu, hebu aseme neno kuhusu hii nyumbaToka nilipoiona hii picha na kuona maelezo kwamba haya ndio yalikuwa makazi ya marehemu mama yake huyo jamaa huwa namuona limbukeni.
-Ndumilakuwili-
mpango wa kuuza ile nyumba ya kinyerezi sijui uliishia wapi? siku hizi anapiga tu picha yupo kwenye kiwanja cha watu Mbweni, alafu anasema ni kiwanja chake anajenga nyumba kumbe ni kiwanja cha watu! kama ana ubavu aonyeshe hati za kiwanja anachodai ni cha kwake ambacho kipo Mbweni Beach.Le mutuz anakwambia usijibane sana eti kwasababu ya kujenga hhhhh anakwambia batazzz kujenga yeye bado hhhhh... mzee wa miaka 59 hana hata nyumba anaishi kwenye apatment ya kupangisha hhhhhhhhhhhhhhhhh akina dab wenzake wanajenga yeye anajenga tumbo tu hhhhhhhhhhhhhhhhhh
Sent using Jamii Forums mobile app
miaka 59 ni muda wa kula pensheni na kusupport wajukuu, ila wewe ndo unaanzisha studio ati, ajabu la nane la duniaView attachment 566741
- kama sio mimi utakuwa wewe au unasemaje? hahahahaha tuseme ni wewe hahahahahahhaa
le Mutuz
mpango wa kuuza ile nyumba ya kinyerezi sijui uliishia wapi? siku hizi anapiga tu picha yupo kwenye kiwanja cha watu Mbweni, alafu anasema ni kiwanja chake anajenga nyumba kumbe ni kiwanja cha watu! kama ana ubavu aonyeshe hati za kiwanja anachodai ni cha kwake ambacho kipo Mbweni Beach.
Hivi ile Noah yako bado unayo????
- na wewe unatikisa nini hapo ulipo? hahahahahaha ina maana huna makalio mbona kama umejisema mwenyewe? hahahahaha
le Mutuz
miaka 59 ni muda wa kula pensheni na kusupport wajukuu, ila wewe ndo unaanzisha studio ati, ajabu la nane la dunia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kumwelewa huyuHivi kula wali maharage ni kujishusha, huyu lemutuz sijui yupoje. Kwa hiyo na yeye ni tajiri na hakustahili kula maharage ama.
Wakati Lemutuz analazimisha kupata followers, bill gates yeye ana 30k followers.
Mtoto wa kiume kitingisha matako uliona wapi? kama sio ................... anavaa kabisa nguo za michezo ili tako litoke khaaa
Kusema ukweli kabisa,moja ya watu ambao ni wajinga kupita wote hapa Tz ni ww.
Yeye hajui kwamba kwa sasa kama angekua public servant, angechukua likizo yakustaafu.. cha kushangaza yuko busy na online tv, kazi ambayo angeifanya zamani,wakati akiwa kijana kama kina Milard Ayo... hiv sijui haoni aibu kushindana na wajukuu zake kina Milard kwenye hizo purojekiti