Hivi kula wali maharage ni kujishusha? Huyu Lemutuz sijui yupoje?

Hivi kula wali maharage ni kujishusha? Huyu Lemutuz sijui yupoje?

Status
Not open for further replies.
Nani mmiliki wa hii studio???
upload_2017-8-15_13-54-40.jpeg

- kama sio mimi utakuwa wewe au unasemaje? hahahahaha tuseme ni wewe hahahahahahhaa

le Mutuz
 
Le mutuz anakwambia usijibane sana eti kwasababu ya kujenga hhhhh anakwambia batazzz kujenga yeye bado hhhhh... mzee wa miaka 59 hana hata nyumba anaishi kwenye apatment ya kupangisha hhhhhhhhhhhhhhhhh akina dab wenzake wanajenga yeye anajenga tumbo tu hhhhhhhhhhhhhhhhhh

Sent using Jamii Forums mobile app
mpango wa kuuza ile nyumba ya kinyerezi sijui uliishia wapi? siku hizi anapiga tu picha yupo kwenye kiwanja cha watu Mbweni, alafu anasema ni kiwanja chake anajenga nyumba kumbe ni kiwanja cha watu! kama ana ubavu aonyeshe hati za kiwanja anachodai ni cha kwake ambacho kipo Mbweni Beach.
 
Akiweka hati za kiwanja, nahama tanzania
 
- na wewe unatikisa nini hapo ulipo? hahahahahaha ina maana huna makalio mbona kama umejisema mwenyewe? hahahahaha

le Mutuz

Mtoto wa kiume kitingisha matako uliona wapi? kama sio ................... anavaa kabisa nguo za michezo ili tako litoke khaaa
 
miaka 59 ni muda wa kula pensheni na kusupport wajukuu, ila wewe ndo unaanzisha studio ati, ajabu la nane la dunia

Sent using Jamii Forums mobile app

Yeye hajui kwamba kwa sasa kama angekua public servant, angechukua likizo yakustaafu.. cha kushangaza yuko busy na online tv, kazi ambayo angeifanya zamani,wakati akiwa kijana kama kina Milard Ayo... hiv sijui haoni aibu kushindana na wajukuu zake kina Milard kwenye hizo purojekiti
 
Mtoto wa kiume kitingisha matako uliona wapi? kama sio ................... anavaa kabisa nguo za michezo ili tako litoke khaaa

- nahisi unajisema mwenyewe maana unayo matako na unajua kuyatingisha ndio maana unasema, sasa nakushangaa why kujiema na matako unayo? hahahahaha ndio ujuha wenyewe huo hahahahah

le Mutuz
 
Yeye hajui kwamba kwa sasa kama angekua public servant, angechukua likizo yakustaafu.. cha kushangaza yuko busy na online tv, kazi ambayo angeifanya zamani,wakati akiwa kijana kama kina Milard Ayo... hiv sijui haoni aibu kushindana na wajukuu zake kina Milard kwenye hizo purojekiti
upload_2017-8-15_14-8-48.jpeg

- Ona majaribio hahahaha U know yaani wembe ni ule ule kwenda kwa mbele tu hahahaha soon utaisoma tu na utaangalia tu cause huna ujanja hahahahaha

le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom