mpango wa kuuza ile nyumba ya kinyerezi sijui uliishia wapi? siku hizi anapiga tu picha yupo kwenye kiwanja cha watu Mbweni, alafu anasema ni kiwanja chake anajenga nyumba kumbe ni kiwanja cha watu! kama ana ubavu aonyeshe hati za kiwanja anachodai ni cha kwake ambacho kipo Mbweni Beach.
Kusema ukweli kabisa,moja ya watu ambao ni wajinga kupita wote hapa Tz ni ww.
ww umri wako uko sawa n babu yangu ila mambo yako na tabia zako,mwanangu hana. Kwa kifupi though she is 12yrs ila anakuzidi akili.
Le jingaz
Sent using Jamii Forums mobile app
Kusema ukweli kabisa,moja ya watu ambao ni wajinga kupita wote hapa Tz ni ww.
ww umri wako uko sawa n babu yangu ila mambo yako na tabia zako,mwanangu hana. Kwa kifupi though she is 12yrs ila anakuzidi akili.
Le jingaz
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumba aitoe wapi huyu mzee... anapenda sana kuwa na Assets but huishia kua na Liabilities tu... maana fake life lina gharama sana kuli maintain
Jamaa mwili jumba,akili zake sawa na kidonge cha piriton......
- Kwani kuwa na nyumba ni nini wewe unayo mbona upo hapa kubishana na nisyekuwa nayo? hahahaha ninaishi kwenye apartment na wahindi matajiri wa dunia sijaona wanajenga nyumba? Sasa nyumba inakusaidia nini kama unakuja kubishana na niyekuwa nayo? hahahahahahaha tafuta wenyewe nyumba wenzako basi uongee nao kama ni dili hahahahahaha
le Mutuz
Mtoto wa kiume kitingisha matako uliona wapi? kama sio ................... anavaa kabisa nguo za michezo ili tako litoke khaaa
Uache kutupiga fix sasa, mara unauza nyumba, mara sijui nini, mara hivi, mara una watoto wanasoma marekani.. kuishi kwenye apartment...sasa Babu kwani kusihi huko ndo kwamba una pesa au?? Hizo apartment unaweza kuta unaishi bure wewe
Ile TV radio ya morogoro imefia wapi?View attachment 566741
- kama sio mimi utakuwa wewe au unasemaje? hahahahaha tuseme ni wewe hahahahahahhaa
le Mutuz
- Sasa mbona kama hujielewi maana unarukia mambo mengi sana kwa wakati mmoja, relax chagua moja at a time au? hahahahahah
le Mutuz
Kwa wewe hapo si kujishusha kwa sababu hauna jeuri nyingine, ndio umefika
Ile TV radio ya morogoro imefia wapi?
Wallah mzee wako huwa anatamani angemwaga nje sperms ili usitokee maana unatia aibu.View attachment 566768
- una maana mtoto wako miaka 12 ana ofisi kama hii posta mpya Sokione Drive na ana wafanyakazi kama nilivyo na wewe unao pia si ndio maana yako au sijakuelewa? Ok lets say unayosema ni kweli kwa nini unapoteza muda wako na mtoto wa miaka 12? hahahahahahahaha
le Mutuz
Kwa wewe hapo si kujishusha kwa sababu hauna jeuri nyingine, ndio umefika
Wallah mzee wako huwa anatamani angemwaga nje sperms ili usitokee maana unatia aibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu kibaya kama mwanaume kuwa mpambe Wa mwanaume wengine!!!!Mwanaume yapaswa usimame ufanye yako Kwa wajibu wako, siyo kushadadia waliofanya wengine
Akili za huyu jamaa ni zile za kula Bure kutokana na kulamba viatu vya wakubwa,angalia watoto wa Malecela wote kama wanajikomba komba kama huyu jamaa,asaehewe tu ndio ufahamu wake!
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya 2015 We jamaa bila ya kumsifia Sifia makonda ungelikua ushakufa siku nyingi sanaView attachment 566787
- Ni kweli kama hivi jana nilikuwa Prsdiential Suite Hilton ndio maisha yangu sio kujishusha upo sawa kabisa
le Mutuz