mpango wa kuuza ile nyumba ya kinyerezi sijui uliishia wapi? siku hizi anapiga tu picha yupo kwenye kiwanja cha watu Mbweni, alafu anasema ni kiwanja chake anajenga nyumba kumbe ni kiwanja cha watu! kama ana ubavu aonyeshe hati za kiwanja anachodai ni cha kwake ambacho kipo Mbweni Beach.
Nyumba aitoe wapi huyu mzee... anapenda sana kuwa na Assets but huishia kua na Liabilities tu... maana fake life lina gharama sana kuli maintain