Huyu anampanga ili azame mazima kama Harmonize na NyashiNgoja gari lichanganye ndio utajua akili zilikuwa za muda tu
Ngoja aone balaa lakeHuyu anampanga ili azame mazima kama Harmonize na Nyashi
Wakuu salama?
Kuna chimbo jipya(mchepuko) nimelipata hapa Dodoma.so katika story za hapa na hapa akanitumia huu ujumbe hapa chini.
Nijuavyo mimi michepuko huwa 8na lengo la kuvuruga tu ndoa za watu.
Ila huu mchepuko umenishangaza kidogo kwa jinsi ulivyo positive.
Mpe mimba huyo fastaWakuu salama?
Kuna chimbo jipya(mchepuko) nimelipata hapa Dodoma.so katika story za hapa na hapa akanitumia huu ujumbe hapa chini.
Nijuavyo mimi michepuko huwa 8na lengo la kuvuruga tu ndoa za watu.
Ila huu mchepuko umenishangaza kidogo kwa jinsi ulivyo positive.
Inaonekana ndiyo unaanza mambo ya kuchepukaWakuu salama?
Kuna chimbo jipya(mchepuko) nimelipata hapa Dodoma.so katika story za hapa na hapa akanitumia huu ujumbe hapa chini.
Nijuavyo mimi michepuko huwa 8na lengo la kuvuruga tu ndoa za watu.
Ila huu mchepuko umenishangaza kidogo kwa jinsi ulivyo positive.
🤣🤣Mliokubuhu kwenye kitengo🙌Huwa yanaanza hivi, subiri mkolezane utashangaa na nafsi yako.
Hahaha, haya mambo hayana mbabe...baada ya mda unashangaa texts za saa saba usiku..🤣🤣Mliokubuhu kwenye kitengo🙌
Upweke sijui, au kitu gani sielewi..🤣🤣🤣Huyo ni mshamba