Hivi kumbe mpaka karne hii ya 21 bado kuna michepuko ina akili kiasi hiki?

Hivi kumbe mpaka karne hii ya 21 bado kuna michepuko ina akili kiasi hiki?

Wakuu salama?
Kuna chimbo jipya(mchepuko) nimelipata hapa Dodoma.so katika story za hapa na hapa akanitumia huu ujumbe hapa chini.
Nijuavyo mimi michepuko huwa 8na lengo la kuvuruga tu ndoa za watu.
Ila huu mchepuko umenishangaza kidogo kwa jinsi ulivyo positive.
ushapigwa wewe!
chezea wakaladi wewe!
Hawa wanatazama extra mile na wanajua wanachofanya lakini si kama Veronica wa Yesu!
ngoja unyooshwe mpaka ifike wakti unakumbusha mwenyewe hivi dear umeniroga leo?! naomba uniroge tafadhari!
 
ila wadogo zangu kuweni makini huu mji tuachieni wenyewe hali sio shwari kiivyo kwakuwa umalaya ni sehemu ya kazi ya kipato.
vijana tunzeni visu vyenu sio kila ala inaweza kustiri kisu chako!
 
Wakuu salama?
Kuna chimbo jipya(mchepuko) nimelipata hapa Dodoma.so katika story za hapa na hapa akanitumia huu ujumbe hapa chini.
Nijuavyo mimi michepuko huwa 8na lengo la kuvuruga tu ndoa za watu.
Ila huu mchepuko umenishangaza kidogo kwa jinsi ulivyo positive.
unasetiwa uiingie kwenye mfumo, jaa umtie mimba uone shughuli yake, hapo unawekewa ulezi unase mwenyewe
 
yaani wewe ni kajichizi! bora ushaanza kuwa mama mkubwa chipukizi ushangazi unaondoka vinginevyo mhn! vivulana hivi vijingavijinga ungevinyoosha
🤣🤣🤣🤣 Nashukuru ubinti umeondoka...sasa naelekea ushangazi dogo...huo umama mkubwa niutoe wapi
 
Wana mbinu 100 hao
We jichanganye tu
Mwisho unamuacha wa ndoa unamuoa yeye kwa maneno hayo
Ukisikia taifa liko mbele miaka 50 ndio hili sasa 😄 🤣
 
Hakuna mchepuko mwenye AKILI ni swala muda,, apo unaingizwa kwenye mfumo bila ww kujielewa na siku unajielewa ushaharibu mkuu ,, KAA NA MKEO,,MSIKILIZE MKEO,, changamoto ya MKEO isiwe fimbo ya kutatua changamoto kwa mchepuko,,
 
Anakuset ukae vema kisha upate rungu la kichwa ukafie mbele......
 
Back
Top Bottom