Hivi kumbe mpaka karne hii ya 21 bado kuna michepuko ina akili kiasi hiki?

Hivi kumbe mpaka karne hii ya 21 bado kuna michepuko ina akili kiasi hiki?

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
11,931
Reaction score
15,849
Wakuu salama?
Kuna chimbo jipya(mchepuko) nimelipata hapa Dodoma.so katika story za hapa na hapa akanitumia huu ujumbe hapa chini.
Nijuavyo mimi michepuko huwa 8na lengo la kuvuruga tu ndoa za watu.
Ila huu mchepuko umenishangaza kidogo kwa jinsi ulivyo positive.
 
Attachments

  • Screenshot_20241101_145233_Messages.jpg
    Screenshot_20241101_145233_Messages.jpg
    29.6 KB · Views: 7
Aisee
Wakuu salama?
Kuna chimbo jipya(mchepuko) nimelipata hapa Dodoma.so katika story za hapa na hapa akanitumia huu ujumbe hapa chini.
Nijuavyo mimi michepuko huwa 8na lengo la kuvuruga tu ndoa za watu.
Ila huu mchepuko umenishangaza kidogo kwa jinsi ulivyo positive.
 
unaona umepata sio?? tulia kitakukuta jambo tena huwa tunajua mnapenda sana mambo kama hayo unaektiwa unajaa ndio utaelewa maharage ni mboga au chakula cha wafungwa gerezani.
 
kuna manzi ukiwa unadate naye n malaika wa kusifu na kuabudu kosea upate nae mtoto utamuona lucifer akiwa uchi,kuna mwamba alidhalilishwa katikati ya soko kisa demu kazaa naye,hawa viumbe cio...
 
Back
Top Bottom