Hivi kumbe SportPesa ni wahuni kiasi hiki?

Sasa pale wangepigwa sana maana unavyoongeza timu hata over 0.5 bonus inapanda, kuna mmoja alipata timu 60 odds ndogo ndogo bonus 1000% alishinda mil 110. Week ile hadi mikeka ambayo ni lost ikaonekana kama bado zipo active
Kwa kile kichapo betpawa walipagawa, wakaanza kufanya mambo ya ajabu, sometimes mkeka ambao bado upo active hauonekani kwenye open bet
 
Kuna gem flani linaitwa Crash game lipo 1xbet na Melbet , lile gemu ukicheza mtandao ukiwa slow unaweza kuchukua ushindi kwenye 3.0 unaambiwa umelost kumbe kiuhalisia Kama plane wakati inaonekana 3.0 imedelay kwenye game ime crushed out kwenye 7,, hapo utaona Kama umedhulumiwa mda mwingine mfano umeweka 10,000 ukichukua kwenye 3.0 ambapo ulitakiwa upewe 30,000 unashangaa umepewa 70,000 kumbe wakati una cashout kwenye 3.0 kwenye game ilifika 7.0
Kama nimuelewa unaaza kugundua Hilo nitatizo kimtandao lakini ukiwa bongo lala utaanza kulalama
 
Narudia Tena kwenye betting mteja akishinda wanafurahi kuliko akipoteza kila siku. Mteja akishinda 50,000 Leo uwezekano wakuja kumpiga 500,000 upo kuliko akiliwa 50,000 anaweza kuacha kabisa kubeti au akahama kampuni.
 
Hii inakuwa applicable kabla ya ku stake, meaning kipindi unapangilia team zako ndio option ya Odds change automatically au kwa ku accept, Baada ya ku stake mkeka wako hii option haifanyi kazi tena.

Ukiona baada ya ku stake mkeka na Odds let's say ni 230, ukishinda ukikuta zimepungua basi umeibiwa.
 
Huku print au kuscreen shot mkeka?
 
Kushuka odds au kupanda mbona nikampuni zote Tena wanakuambia accept any changes unaaccept bila kujua maana yake?[emoji23] Ndipo nashauru kabla ya kujiunga Soma kwa makini vigezo na masharti odds inaweza kupanda au kushuka kwa nukta ya sekunde
Rafiki Mimi sio mgeni kwenye hili swala la betting na miaka zaidi ya kumi kwenye tasnia... Unaposema swala la ku-accept odds change Hilo linatakiwa lifanyike kabla ya kuplace bet...

Haiwezekani nimeshalipia mkeka ndo odds zishuke huo n utapeli....

Maana game itakapoanza odds lazima zibadilike Tu maana tayari iyo game inakua n live game..

Sasa mkeka nishauprint odds zinashukaje kama sio ujambazi... Anyways sahivi nishawasahau kama wapo nawaonaga Tu kwenye jezi ya Yanga
 
Mkuu inaonekana hujaelewa vizuri hivi tufanye nimeshakubali icho kidude cha odds change then nilipoplace bet odds zikashuka toka 60 Hadi 40 nikaweka efu 10 kushinda 400k..

Then mkeka unashinda unakuta umeshinda 320k...
We unaona hiyo n sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…