Hivi kuna bus zilizokua na Aura kama Sauli Luxury 2018-2024 Mikoa ya nyanda za Juu kusini?

feyzal

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Posts
9,024
Reaction score
18,683
Salaam..

Naam kama Heading inavyojieleza hapo, hizi bus zimetuachia kumbukumbu nyingi tamu katika miaka hapo tajwa kwa wasafiri wa Nyanda juu kusini.

Mkurugenzi wa hizo bus Hayati Solomon Mwakadabila sijui alizipa maelekezo vyuma vilikua masaa muda wote hakuna kupoa upande yoyote ilimradi iwe sauli, chini ya madereva waks vijana Tito,Tege,Mwanyilu,Mwinuka nk

Wakati niko mafinga pale nishakula buku 2 za kutosha kwa kubeti chuma ya kwanza kuingia na Sauli alikua mara nyingi haniangushi.

Kampuni ilikua na first born DPC Noebus ,ikafuata Gemilang DPN,DRH 300(Jiti tatu),DTF,DXE(polo jeuri kichaa),DWL etc . DPN iliwahi weka rekodi ya kusafiri zaidi ya masaa 24 bila kuzimwa wala kupumzika ilitoka DSM-Mbeya ,ikafika ikakodiwa kurudi DSM siku hiyo hiyo jioni ikafika DSM alfajiri na kugeuka tena kwenda Mbeya(SCANIA KIZAZI JEURI).

Nakumbuka ili upate tiketi ilikupaswa ukate siku 2 kabla au zaidi ndo utapata nafasi wakazi wa Mbeya waliiamini na kuipenda hii kampuni vibaya sana. Mikeka ya ligi kila jioni tulikua tunasubiri kujua nani kafungua geti pale uyole.

Ligi pendwa ilikua na Golden Deer DPK series 712 yakw ostadh rama na ile Nyingine ya Linyama ,,huku unakutana na Mjinja Volvo CSN DSM-S/Wanga na SCANIA Bull ya kufikia Matuta. Kilimanjaro nae alikua na Bus zake DSM-Tunduma na e alijitahidi kiasi chake pamoja Na Rungwe Gemilang DNN.

Hizi Momeng kwa wanazi wa mabus na vyombo vya moto nadhani hamtasahau utamu wake... Mara zote nilizopanda hizi chuma tulifungua Geti pale Igumbilo,Mafinga au Uyole...Mwisho binafsi Scania Gemilang nazikubali kuliko Scania G7

Wale wenye kumbukumbu zingine mnaweza weka .

#SAULI DAIMA
 
Attachments

  • FB_IMG_17830934082185202.jpg
    FB_IMG_17830934082185202.jpg
    186.9 KB · Views: 17

Sauli was untouchable
 
DMG(813/816) na DPK(711/713/715) series ziliua Sauli zote, DXE pekee ndiye aliyetoroka na chupi mkononi
Chuma mpaka leo zipo na zinatagisha kina EJP vibaya mno
Sio kweli DPK na DMG hizo zilikua zinaenda na kurudi zinapumzika wakati huo Sauli tupa geuka mamaae...Hizo michina zilibadilishwa hadi injini pia.

Fikiria Sauli alipambana kwanza na DMG seriees ,zikaja DPk,DZG ,EBK(ebitoke) ,Ila bado mshikaji yuko na garo zile zile tena kuna muda akapokonywa chuma akabaki na Gari 4 tu ila bado alisumbua.
 
Sauli alifanya vizuri sana huko sidhani kwa miaka ya karibuni kama tutakuja kupata kampuni kama hiyo aisee jamaa alizitendea haki Scania...
Mpaka leo zitakuja kampuni na kuondoka ila bado ipo moyoni mwa watu...wakati naishi mbeya yaani kila mkazi anazungumzia saul yule mzee alizipa heshima sana scania.
 
Sio kweli DPK na DMG hizo zilikua zinaenda na kurudi zinapumzika wakati huo Sauli tupa geuka mamaae...Hizo michina zilibadilishwa hadi injini pia.

Fikiria Sauli alipambana kwanza na DMG seriees ,zikaja DPk,DZG ,EBK(ebitoke) ,Ila bado mshikaji yuko na garo zile zile tena kuna muda akapokonywa chuma akabaki na Gari 4 tu ila bado alisumbua.
Wakumbushe ....
SAULI hakua na wapiga debe, alikuwa anajiuza automatically.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Sio kweli DPK na DMG hizo zilikua zinaenda na kurudi zinapumzika wakati huo Sauli tupa geuka mamaae...Hizo michina zilibadilishwa hadi injini pia.

Fikiria Sauli alipambana kwanza na DMG seriees ,zikaja DPk,DZG ,EBK(ebitoke) ,Ila bado mshikaji yuko na garo zile zile tena kuna muda akapokonywa chuma akabaki na Gari 4 tu ila bado alisumbua.
DMG na DPK bado zipo road, nambie Sauli ipo ? vifua vilishabana
DXE pekee ndiyo aliponyoka, EFE akaja kuzimaliza mazima, yupo benchi Vijibweni kifua kimebana
 
Back
Top Bottom