Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Nilikua nishaanza kufanya mchakato wa kulipia hilo kama lako 124 moja ya 2006 sema hao kodi yake ya uchakavu utaliacha Tunduma nimewaza sijapata jibu kabisa na nilipata kazi huko huko Songea kubeba mahindi kupeleka Arusha..Usiombe iwe na chassis rigid au mende kodi yake zinaeza kufika Mara tatu ya bei uliyonunulia.
Tax structure malori zinaalika Sana maongezi ya rushwa ma mapfisa kodi