Hivi kuna bus zilizokua na Aura kama Sauli Luxury 2018-2024 Mikoa ya nyanda za Juu kusini?

Nimeshangaa Serikali wameongeza kodi kubwa kwenye Scania sijawaelewa kabisa hiyo G 460 mwaka wa tatu huu ni Service tu na ni truck ya 2015 je ukiipata ya 2020 itakuaje na inaenda huko Kigali milima ya kutosha...
Natamani nije niwajaribu Man Diesel nione itakuaje nao naona wapo sawa sana na kununua SA zipo nyingi tu pamoja na Mercedes Actros ingawaje bei yake ni mlima sana huyu mwamba..
Mbona ww unatumia gari mpya 2015!!!
Nina scania 164 g ya mwaka 2001 kila siku ni kuhangaika ma milima ya ruvuma na sijawahi gusa engine 2.3mil km
 
Angalau tunaongea lugha moja siku hizi mbeya hakuna ligi ya mbio za mabasi na hata hao Akina sauli na new force , hawjaiwahi kuvunja record yoyote ya kuwahi kufika mbeya
Saudi ya manka ilijitahidi Sana making haijawahi kuvunja record
K ulikuwa Kuna basi onaitwa Masia bus Tzj 3360 hii ilikiwa inafika mbeya saa name mchana ikitokea mnazi mmoja stand saa 12 dar
Kuna basi kuitwa matema beach TZJ 7104 ilikuwa inafika dar saa nane ikitokea mbeya
Kuna basi ikiitwa Mkwema bus service MSM 34 ilisajiliwa namba za Kilimanjaro( miaka hio namba ni za kimkoa) hii ilokuwa inafika Tunduma saa 9 na nusu ikitokea mnazi mmoja dar saa 12 . Miaka ya 2000 record ya mkwema ilivunjwa na Tawfiq Addidas , jamaa aliingia Tunduma saa 9 kamili akitokea ubungo bus stand.
Siku hizi matuta, tochi kila sehemu, wanapangiwa muda wa kufika sehemu husika ndio maana, tofauti na zamani ilikua fungulia mbwa.
 
Angalau tunaongea lugha moja siku hizi mbeya hakuna ligi ya mbio za mabasi na hata hao Akina sauli na new force , hawjaiwahi kuvunja record yoyote ya kuwahi kufika mbeya
Saudi ya manka ilijitahidi Sana making haijawahi kuvunja record
K ulikuwa Kuna basi onaitwa Masia bus Tzj 3360 hii ilikiwa inafika mbeya saa name mchana ikitokea mnazi mmoja stand saa 12 dar
Kuna basi kuitwa matema beach TZJ 7104 ilikuwa inafika dar saa nane ikitokea mbeya
Kuna basi ikiitwa Mkwema bus service MSM 34 ilisajiliwa namba za Kilimanjaro( miaka hio namba ni za kimkoa) hii ilokuwa inafika Tunduma saa 9 na nusu ikitokea mnazi mmoja dar saa 12 . Miaka ya 2000 record ya mkwema ilivunjwa na Tawfiq Addidas , jamaa aliingia Tunduma saa 9 kamili akitokea ubungo bus stand.
Hiyo ndio ilikua ligi ya kilume matema,zainab,tawfiq walikua wanatamba njia hiyo
 
Mbona ww unatumia gari mpya 2015!!!
Nina scania 164 g ya mwaka 2001 kila siku ni kuhangaika ma milima ya ruvuma na sijawahi gusa engine 2.3mil km
2001 mpaka 2008 nilitaka kuchukua mbili hizo G zipo hapa sema wameongeza kodi jamaa kwenye Uchakavu naziangalia tu inabidi nijichange nirudi kwenye hizo G za miaka ya karibuni sijajua lengo lake Serikali ni nini yaani Scania ya 2010 wao hawaitaki wanataka tununue Howo ya 2026 mimi hapana aisee..
 
Kama alikua anaendesha TITO ndo alivyo ndo dereva aoiyekua anaongoza kwa ajali katika hiyo kampuni.
Hilo bus nilipanda mara moja na nilisema sipandi tena roho juu juu kama nimepanda mtumbwi aisee..
 
Angalau tunaongea lugha moja siku hizi mbeya hakuna ligi ya mbio za mabasi na hata hao Akina sauli na new force , hawjaiwahi kuvunja record yoyote ya kuwahi kufika mbeya
Saudi ya manka ilijitahidi Sana making haijawahi kuvunja record
K ulikuwa Kuna basi onaitwa Masia bus Tzj 3360 hii ilikiwa inafika mbeya saa name mchana ikitokea mnazi mmoja stand saa 12 dar
Kuna basi kuitwa matema beach TZJ 7104 ilikuwa inafika dar saa nane ikitokea mbeya
Kuna basi ikiitwa Mkwema bus service MSM 34 ilisajiliwa namba za Kilimanjaro( miaka hio namba ni za kimkoa) hii ilokuwa inafika Tunduma saa 9 na nusu ikitokea mnazi mmoja dar saa 12 . Miaka ya 2000 record ya mkwema ilivunjwa na Tawfiq Addidas , jamaa aliingia Tunduma saa 9 kamili akitokea ubungo bus stand.
Katika hizo bus niliwahi kuiona bus moja lipo central hapo polisi Mbeya lilifika saa nane nadhani dereva alikua Giriki sasa hivi yupo na truck zake nadhani kuna siku moja nipo Mbeya mwaka huu Giriki alisimama hapo Mwanjelwa alizingirwa na watu balaa watu wakionyeshana vidole huyu ndio Mwamba wa hii bara bara alipigwa marufuku kuonekana Iringa akiwa anaendesha bus na RTO wa mkoa miaka hiyo sema hawa hawajakutana na wasizwa wabishi ndio maana wanawaongelea hawa wanaopata ajali kwa kukimbiza gari nyepesi kama karatasi..
 
Feyzal hizo Man za katarama ni tofauti na body za Iriza tofauti kabisa naposema Bus ina mapunziko kama ya ndege naomba unielewe mazee cheki mtandaoni hapo Swiss bus za Zimbabwe au Greyhound uone vyombo vya usafiri hizi za kwetu seat nyembamba kama body ya Andare kama uliwahi kuzikuta..
 
Aaah nakuelewa kaka ,,,ila Mzee katarama anajaribu jaribu
 
2001 mpaka 2008 nilitaka kuchukua mbili hizo G zipo hapa sema wameongeza kodi jamaa kwenye Uchakavu naziangalia tu inabidi nijichange nirudi kwenye hizo G za miaka ya karibuni sijajua lengo lake Serikali ni nini yaani Scania ya 2010 wao hawaitaki wanataka tununue Howo ya 2026 mimi hapana aisee..
Howo waachiwe newbies kwenye biashara
Gari ya kichina sio cheap ,in the long run ni very expensive
 
Aaah nakuelewa kaka ,,,ila Mzee katarama anajaribu jaribu
Sio anajaribu jamaa anajua anafanya nini Katika biashara na mtaji pia anao
Huku kwenye makaa juzi Kaleta Xt zina trela za Busta super doll na Alcoa Rims
For records hakuna msafirishaji wa makaa ambaye anatumia trela za staili ya katarama maana sio za bei rahisi
 
Anatusaidia sana maana na wao wanabanwa na kodi kubwa iliyopo kuagiza hizo gari nampa Big up sana mwamba sio kwamba anajaribu..
Kuna clearing agent aliniambia Kodi alizolipa jamaa kwenye ile irrizar moja ilikua 400 mil plus nikawa siamini
Ila juz Kati nimeshuhudia control namba ya shilingi milion329 ,jamaa alikuwa analipia kodi ,G wagon ya mwaka 2025
 
Kuna Mtanzania anafanya biashara ya usafirishaji Zimbabwe anafanya vizuri sana maana hapo kwa commercial car wanalipia kodi kidogo sana na pia gari inaruhusiwa kuingia wanalipia kila wakifanya kazi..XT ya 2019 kabla haijapanda July mteja wangu alilipia 65m wakati mwaka jana g ya 2015 ilikua 34m sasa hivi ipo kwenye 50m kuendelea..
 
Usiombe iwe na chassis rigid au mende kodi yake zinaeza kufika Mara tatu ya bei uliyonunulia.
Tax structure malori zinaalika Sana maongezi ya rushwa ma mapfisa kodi
 
Back
Top Bottom