Hivi kuna bus zilizokua na Aura kama Sauli Luxury 2018-2024 Mikoa ya nyanda za Juu kusini?

Hivi kuna bus zilizokua na Aura kama Sauli Luxury 2018-2024 Mikoa ya nyanda za Juu kusini?

wadangaye wasiojua labda DXE imekufa, imeungana na ile ENE mafichoni
Wwe ndo unaonekana Muongo ,,nimekuonesha gari hapo kwenye list inatoka bukoba Gari il
Mkuu kwann unazikubali gemi kuliko polo ilhali polo zimeprove kuwa stahimilivu zaidi mfano EBR toka Saul hadi katarax bado anakichafua.

Au uwezo wake wa kula tuta?😄
Gemilang zina Sura ya kazi sana na mvuto japo bodi nyanya kingine hapo kwenye tuta ndo kwake...chuma ina busta za hatari.
 
Sikupingi kuna vijana wanafananisha Scania na Cummims kisa mahaba ..Mchina kama huna rotation ya gari nyingi hutoboi miezo 6 gari mkweche . mwezi wa tatu ilibukaga Happh Nation Mastorily ya Town. EHC yake Roja nakimbiza Kataram haikumaliza miezi 6 ile gari kimeo ile midude iko vile vile mapafu tupa geuka.
Nimeshangaa Serikali wameongeza kodi kubwa kwenye Scania sijawaelewa kabisa hiyo G 460 mwaka wa tatu huu ni Service tu na ni truck ya 2015 je ukiipata ya 2020 itakuaje na inaenda huko Kigali milima ya kutosha...
Natamani nije niwajaribu Man Diesel nione itakuaje nao naona wapo sawa sana na kununua SA zipo nyingi tu pamoja na Mercedes Actros ingawaje bei yake ni mlima sana huyu mwamba..
 
Katarama nimeona kama anatumia Scania moja ya Sauli ila kaipaka rangi tu si wengine ukitubadilishia kitu kugundua ni rahisi niliiona inatoka Tunduma..
images-11.jpg

T485DXE
 
Hauwezi kushindana na mkurugenzi Jason wa New Force nyanda za juu Kusini

They pull up, then they vanish. Katarama, Achimwene & ABC up next

The game is the game
 
Hauwezi kushindana na mkurugenzi Jason wa New Force nyanda za juu Kusini

They pull up, then they vanish. Katarama, Achimwene & ABC up next

The game is the game
Nyakati zonabadilika mkuu, kwa sasa ABC anapeleka gar nyingi TUNDUMA kuliko Newforce/Golden. Mfano tatiba ya kesho ABC ana gari za dar-tdm 7 wakati Newforce/Jason anazo 5
 
Salaam..

Naam kama Heading inavyojieleza hapo, hizi bus zimetuachia kumbukumbu nyingi tamu katika miaka hapo tajwa kwa wasafiri wa Nyanda juu kusini.

Mkurugenzi wa hizo bus Hayati Solomon Mwakadabila sijui alizipa maelekezo vyuma vilikua masaa muda wote hakuna kupoa upande yoyote ilimradi iwe sauli, chini ya madereva waks vijana Tito,Tege,Mwanyilu,Mwinuka nk

Wakati niko mafinga pale nishakula buku 2 za kutosha kwa kubeti chuma ya kwanza kuingia na Sauli alikua mara nyingi haniangushi.

Kampuni ilikua na first born DPC Noebus ,ikafuata Gemilang DPN,DRH 300(Jiti tatu),DTF,DXE(polo jeuri kichaa),DWL etc . DPN iliwahi weka rekodi ya kusafiri zaidi ya masaa 24 bila kuzimwa wala kupumzika ilitoka DSM-Mbeya ,ikafika ikakodiwa kurudi DSM siku hiyo hiyo jioni ikafika DSM alfajiri na kugeuka tena kwenda Mbeya(SCANIA KIZAZI JEURI).

Nakumbuka ili upate tiketi ilikupaswa ukate siku 2 kabla au zaidi ndo utapata nafasi wakazi wa Mbeya waliiamini na kuipenda hii kampuni vibaya sana. Mikeka ya ligi kila jioni tulikua tunasubiri kujua nani kafungua geti pale uyole.

Ligi pendwa ilikua na Golden Deer DPK series 712 yakw ostadh rama na ile Nyingine ya Linyama ,,huku unakutana na Mjinja Volvo CSN DSM-S/Wanga na SCANIA Bull ya kufikia Matuta. Kilimanjaro nae alikua na Bus zake DSM-Tunduma na e alijitahidi kiasi chake pamoja Na Rungwe Gemilang DNN.

Hizi Momeng kwa wanazi wa mabus na vyombo vya moto nadhani hamtasahau utamu wake... Mara zote nilizopanda hizi chuma tulifungua Geti pale Igumbilo,Mafinga au Uyole...Mwisho binafsi Scania Gemilang nazikubali kuliko Scania G7

Wale wenye kumbukumbu zingine mnaweza weka .

#SAULI DAIMA
vijana kama wewe mna mchango mdogo sana kwa Taifa,non sense
 
Nyakati zonabadilika mkuu, kwa sasa ABC anapeleka gar nyingi TUNDUMA kuliko Newforce/Golden. Mfano tatiba ya kesho ABC ana gari za dar-tdm 7 wakati Newforce/Jason anazo 5
ABC wana tabia ya kubadilisha mabasi. Wana nia ya kutoa gari zaidi ya 5 kama New Force Dar-Tunduma-Dar lakini mara nyingi wanafaulisha Wako too ambitious

Ni suala la muda tu hakuna wa kucompete na Jason nyanda za Juu Kusini. Si umeona tayari Katarama na mwenzake wamepelea

BlueStar alimvamia Swax sasa hivi karusha taulo kmmmk
 
Nyinyi ni makondakta wa hizo basi au ndio mapenzi ya dhati kuhusu hizo gari
 
Back
Top Bottom