gambakhuffu
JF-Expert Member
- Jul 2, 2010
- 560
- 611
Njia ya Mwanza - Dar yupo mwamba Katarama, kashindikana huyu jamaa sijaona wa kupambana naye zama hizi.Sauli alifanya vizuri sana huko sidhani kwa miaka ya karibuni kama tutakuja kupata kampuni kama hiyo aisee jamaa alizitendea haki Scania...