Hivi kuna bus zilizokua na Aura kama Sauli Luxury 2018-2024 Mikoa ya nyanda za Juu kusini?

DMG na DPK bado zipo road, nambie Sauli ipo ? vifua vilishabana
DXE pekee ndiyo aliponyoka, EFE akaja kuzimaliza mazima, yupo benchi Vijibweni kifua kimebana
Wewe jamaa hizo DMG na DPK zote injini zilishabadilishwa kingine Jason ana gari nyingi hizo zilikua zinapumzishwa haizkua kauka nikuvae kama Sauli.

Sauli DWL series ziliuzwa ,DTF iliungua moyo,DRH ipo kuna kampuni anayo amenunua sikumbuki jina lake,DXE ipo kwa Katarama bado mang'anyu japo ilidpndoka,,DPN imeungua mwezi jana kuna kampuni aliinunua...Bus ya sauli iliyokuaga Mbovu ni ile DPC benzi.

Kumbuka Mzee Solomoni alipitia changamotp wakati anataka kurudi na gari zimepelekwa kurekebishwa bodi ndo akapata ajali na kufa.
 
in a nutshell hakuna cha benz wala scania iliyo hai, DXE iko grounded
DPK zote 3 zipo hai, DMG zote 2 zipo hai
EJP juzi tu kafukuza 715DPK mtago wa maana Mikumi umemhusu
kisasa zaidi, kuna Deer EFX(rama), Deer ERZ(lubani), N.F. EQC(chris) ni kusalisha tu bandika bandua, ule mzaha EKE ukacheze unapochezaga
 
DWL ipo bhana inapiga mzigo, Tembo safaris waliichukua.
 
in a nutshell hakuna cha benz wala scania iliyo hai, DXE iko grounded
DPK zote 3 zipo hai, DMG zote 2 zipo hai
EJP juzi tu kafukuza 715DPK mtago wa maana Mikumi umemhusu
kisasa zaidi, kuna Deer EFX(rama), Deer ERZ(lubani), N.F. EQC(chris) ni kusalisha tu bandika bandua, ule mzaha EKE ukacheze unapochezaga
Wewe mgumh kuelewa nimekuambia hakuna Sauli iliyokufa zaidi ya DPC hizo DPN,DTF ziliwaka moto ,,DRH imeuzwa na ipo mpaka leo kampuni sikumbuki jina vizuri na inenda nje ya nchi..DXE ipo kwa katarama unasemaje zipo benchi? Wakati huo huo hizo D series zote za Newforce zilishabadilishwa gear box na injini na haiziend tupa geuka.
 
Mpaka leo zitakuja kampuni na kuondoka ila bado ipo moyoni mwa watu...wakati naishi mbeya yaani kila mkazi anazungumzia saul yule mzee alizipa heshima sana scania.
Scania ni engine bora kuwahi kutokea mkuu mimi ndio chaguo langu hilo nipo na G 460 na XT hawa jamaa wamemaliza matatizo mengi ya engine...
 
dwl mkweche hata kwenye ramani ya ligi haipo tena
deer na NF za D series zimebaki ngapi ?
nakukumbusha tu DYD series ambazo zipo 3 na DZU series mpaka leo hii ziko road
hakuna kama deer/NF nyanda za juu kusini
Kinachombeba NF ana kikosi kipana so ana luxury ya kufanya rotation tofauti na Saul 1st 11 yake ilikua ni ileile ndio maana wachezaji wakaburn out haraka.

Ila Saul angekua amejipanga kama katarux mambo yangekua tofauti.
 
Back
Top Bottom