Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Kwa hiyo kuna "msiba" na "kilio"?Ila neno hayati hapo limeingiaje?....Solomoni ni marehemu sio hayati
Kwa hiyo kuna "msiba" na "kilio"?Ila neno hayati hapo limeingiaje?....Solomoni ni marehemu sio hayati
Mlipanda helicopter.Sauli ni juzi hapo.
Nilidandia hekima"sauti ya manka" miaka ya 2000 pale Mbeya stand kuu ya zamani saa tatu asubuhi, ilikua toka Tunduma sa kumi jioni jamaa kapiga honi ubungo.
Siku hiyo sikulala njia nzima jinsi ile gari inakimbizwa.
2.
Najmunisa toka Mwanza miaka hiyo hiyo nilipanda Singida enzi hamna lami mpk Dom,
Yule dreva sijui aliendeshaje lile bus.
Sa 10 jioni tuko kibaha.
Ilibidi basi lipelekwe kituoni mpaka saa moja usiku ndio turuhusiwe kuingia mjini.
Nafkiri,Mlipanda helicopter.
Waone washamba wa kusini hawa, kule kaskazini huwezi kusikia upuuzi km huu, hii ni aibuSalaam..
Naam kama Heading inavyojieleza hapo, hizi bus zimetuachia kumbukumbu nyingi tamu katika miaka hapo tajwa kwa wasafiri wa Nyanda juu kusini.
Mkurugenzi wa hizo bus Hayati Solomon Mwakadabila sijui alizipa maelekezo vyuma vilikua masaa muda wote hakuna kupoa upande yoyote ilimradi iwe sauli, chini ya madereva waks vijana Tito,Tege,Mwanyilu,Mwinuka nk
Wakati niko mafinga pale nishakula buku 2 za kutosha kwa kubeti chuma ya kwanza kuingia na Sauli alikua mara nyingi haniangushi.
Kampuni ilikua na first born DPC Noebus ,ikafuata Gemilang DPN,DRH 300(Jiti tatu),DTF,DXE(polo jeuri kichaa),DWL etc . DPN iliwahi weka rekodi ya kusafiri zaidi ya masaa 24 bila kuzimwa wala kupumzika ilitoka DSM-Mbeya ,ikafika ikakodiwa kurudi DSM siku hiyo hiyo jioni ikafika DSM alfajiri na kugeuka tena kwenda Mbeya(SCANIA KIZAZI JEURI).
Nakumbuka ili upate tiketi ilikupaswa ukate siku 2 kabla au zaidi ndo utapata nafasi wakazi wa Mbeya waliiamini na kuipenda hii kampuni vibaya sana. Mikeka ya ligi kila jioni tulikua tunasubiri kujua nani kafungua geti pale uyole.
Ligi pendwa ilikua na Golden Deer DPK series 712 yakw ostadh rama na ile Nyingine ya Linyama ,,huku unakutana na Mjinja Volvo CSN DSM-S/Wanga na SCANIA Bull ya kufikia Matuta. Kilimanjaro nae alikua na Bus zake DSM-Tunduma na e alijitahidi kiasi chake pamoja Na Rungwe Gemilang DNN.
Hizi Momeng kwa wanazi wa mabus na vyombo vya moto nadhani hamtasahau utamu wake... Mara zote nilizopanda hizi chuma tulifungua Geti pale Igumbilo,Mafinga au Uyole...Mwisho binafsi Scania Gemilang nazikubali kuliko Scania G7
Wale wenye kumbukumbu zingine mnaweza weka .
#SAULI DAIMA
Kaskazini si kulikuwa na Ngorika? Mwanza - Arusha kulikuwa na Mgamba, haishikikiWaone washamba wa kusini hawa, kule kaskazini huwezi kusikia upuuzi km huu, hii ni aibu
labda uwadanganye wasiojua, DXE imepaki gereji ya Ubungo Maziwa kifua kimebana, trip road trip gerejiinapoga DSM-Mwanza Au DSM -Bukoba tupa geuka mpaka leo
Wewe akili zako zina shida gari ni hii hapa ratiba ya leo inatoka bukoba kuja Dar...Inaonekana hujui hata unachosema.labda uwadanganye wasiojua, DXE imepaki gereji ya Ubungo Maziwa kifua kimebana, trip road trip gereji
Na hii hapa ni last seen kwenye vts
View attachment 3637691
Na hii hapa ni last seen ya 713DPK mnyama mkali, kwenye ubora wake , last seen ni jana tu
View attachment 3637693
Ndiyo uone tofauti kati ya mzaha na Zhongtong Climber
unafaulishwa kwenye mzaha wa EBR, vts inasema DXE iko gereji Ubungo Maziwa wiki sasa kifua kimebanaWewe akili zako zina shida gari ni hii hapa ratiba ya leo inatoka bukoba kuja Dar
Wewe akili zako zina shida gari ni hii hapa ratiba ya leo inatoka bukoba kujalabda uwadanganye wasiojua, DXE imepaki gereji ya Ubungo Maziwa kifua kimebana, trip road trip gereji
Na hii hapa ni last seen kwenye vts
View attachment 3637691
Na hii hapa ni last seen ya 713DPK mnyama mkali, kwenye ubora wake , last seen ni jana tu
View attachment 3637693
Ndiyo uone tofauti kati ya mzaha na Zhongtong Climber
Nimekupa ratiba hiyo gari ipo njiani inatoka Bukoba sasa mengine ni mahaba na ubishi wako.unafaulishwa kwenye mzaha wa EBR, vts inasema DXE iko gereji Ubungo Maziwa wiki sasa kifua kimebana
Zile michina ya Jason gari zote Injini na Gear box zilishabadilishwa ila mnyama DXE iko pale pale na kumbuka gari ilianguka hiyo ila ukiangalia bado ipo Mang'anyu.unafaulishwa kwenye mzaha wa EBR, vts inasema DXE iko gereji Ubungo Maziwa wiki sasa kifua kimebana
wadangaye wasiojua labda DXE imekufa, imeungana na ile ENE mafichoniWewe akili zako zina shida gari ni hii hapa ratiba ya leo inatoka bukoba kuja
Nimekupa ratiba hiyo gari ipo njiani inatoka Bukoba sasa mengine ni mahaba na ubishi wako.
Hiyo midude imeua DXS series ,zikaja EBF series ,Zikaja EFE series na Sasa mna Series nyingine midude iko pale pale😁😁.
Ilikuwa T 175 DZUZiligonga Tank zikaungua Newforce kama sikosei ni DPB
ziponzeni tu, ENE kaungana na DXE mafichoni shauri ya kufukuza Megakatarama gari iliyopaki gereji zaidi ya wiki labda iwe na ajali
Mkuu mbona DXE bado anakichafua.. na ilitoka kwa Sauliziponzeni tu, ENE kaungana na DXE mafichoni shauri ya kufukuza Mega
EFE aliua DXE, wakairudisha tena, ikawa ni mwendo wa mitago tu, ikaingia ligi na ERD ikaacha ndala Mikese Moro,Mkuu mbona DXE bado anakichafua.. na ilitoka kwa Sauli
Aisee.. umeme mwingi ni balaa kumbeEFE aliua DXE, wakairudisha tena, ikawa ni mwendo wa mitago tu, ikaingia ligi na ERD ikaacha ndala Mikese Moro,
ikarudi gereji mpaka leo hii ipo hideout ya Ubungo Maziwa, ushahidi angalia vts itakupa majibu
Kulikuwa na Ngorika na Buffalo zilikuwa na ligi kwenda Dar, kutoka Moshi to Dar.Kaskazini si kulikuwa na Ngorika? Mwanza - Arusha kulikuwa na Mgamba, haishikiki