Hivi kuna bus zilizokua na Aura kama Sauli Luxury 2018-2024 Mikoa ya nyanda za Juu kusini?

Hivi kuna bus zilizokua na Aura kama Sauli Luxury 2018-2024 Mikoa ya nyanda za Juu kusini?

Kinachombeba NF ana kikosi kipana so ana luxury ya kufanya rotation tofauti na Saul 1st 11 yake ilikua ni ileile ndio maana wachezaji wakaburn out haraka.

Ila Saul angekua amejipanga kama katarux mambo yangekua tofauti.
Sahihi. Chuma zake zilikuwa kauka nikuvae.

New Force yeye alimtengea chuma kadhaa ambazo ni namba chafu za kushughulika nae halafu zinazobaki zinapiga kwa utulivu
 
Salaam..

Naam kama Heading inavyojieleza hapo, hizi bus zimetuachia kumbukumbu nyingi tamu katika miaka hapo tajwa kwa wasafiri wa Nyanda juu kusini.

Mkurugenzi wa hizo bus Hayati Solomon Mwakadabila sijui alizipa maelekezo vyuma vilikua masaa muda wote hakuna kupoa upande yoyote ilimradi iwe sauli, chini ya madereva waks vijana Tito,Tege,Mwanyilu,Mwinuka nk

Wakati niko mafinga pale nishakula buku 2 za kutosha kwa kubeti chuma ya kwanza kuingia na Sauli alikua mara nyingi haniangushi.

Kampuni ilikua na first born DPC Noebus ,ikafuata Gemilang DPN,DRH 300(Jiti tatu),DTF,DXE(polo jeuri kichaa),DWL etc . DPN iliwahi weka rekodi ya kusafiri zaidi ya masaa 24 bila kuzimwa wala kupumzika ilitoka DSM-Mbeya ,ikafika ikakodiwa kurudi DSM siku hiyo hiyo jioni ikafika DSM alfajiri na kugeuka tena kwenda Mbeya(SCANIA KIZAZI JEURI).

Nakumbuka ili upate tiketi ilikupaswa ukate siku 2 kabla au zaidi ndo utapata nafasi wakazi wa Mbeya waliiamini na kuipenda hii kampuni vibaya sana. Mikeka ya ligi kila jioni tulikua tunasubiri kujua nani kafungua geti pale uyole.

Ligi pendwa ilikua na Golden Deer DPK series 712 yakw ostadh rama na ile Nyingine ya Linyama ,,huku unakutana na Mjinja Volvo CSN DSM-S/Wanga na SCANIA Bull ya kufikia Matuta. Kilimanjaro nae alikua na Bus zake DSM-Tunduma na e alijitahidi kiasi chake pamoja Na Rungwe Gemilang DNN.

Hizi Momeng kwa wanazi wa mabus na vyombo vya moto nadhani hamtasahau utamu wake... Mara zote nilizopanda hizi chuma tulifungua Geti pale Igumbilo,Mafinga au Uyole...Mwisho binafsi Scania Gemilang nazikubali kuliko Scania G7

Wale wenye kumbukumbu zingine mnaweza weka .

#SAULI DAIMA
Mohamed Trans
 
Wewe jamaa hizo DMG na DPK zote injini zilishabadilishwa kingine Jason ana gari nyingi hizo zilikua zinapumzishwa haizkua kauka nikuvae kama Sauli.

Sauli DWL series ziliuzwa ,DTF iliungua moyo,DRH ipo kuna kampuni anayo amenunua sikumbuki jina lake,DXE ipo kwa Katarama bado mang'anyu japo ilidpndoka,,DPN imeungua mwezi jana kuna kampuni aliinunua...Bus ya sauli iliyokuaga Mbovu ni ile DPC benzi.

Kumbuka Mzee Solomoni alipitia changamotp wakati anataka kurudi na gari zimepelekwa kurekebishwa bodi ndo akapata ajali na kufa.
DWL Ilinunuliwa Na Kampuni Inaitwa TEMBO Naiona Morogoro
 
Sahihi. Chuma zake zilikuwa kauka nikuvae.

New Force yeye alimtengea chuma kadhaa ambazo ni namba chafu za kushughulika nae halafu zinazobaki zinapiga kwa utulivu
Chuma za maelekezo unaambiwa ilikua hamna kusimama ovyo kuokoteza vichwa barabarani hata km sio level seat, za kuokoteza zinakuja nyuma mdomdo 😃
 
Na hapo unawezakuta kwa siku anatoa gari hadi 6 toka dar to mbeya/sumbwng.
Eee mkuu.. unakuta ile ya kwanza kabisa ndio ipo jino kwa jino na Sauli kwenye kutembeza mkong'oto, ni either ifungue gate au iwe ya pili. Na interval ya muda sio chini ya dakika mbili..

Ila zile nyingine wala haziwazi.. zinakuja kwa kunyata tu, zinajua brother ametangulia kutoa kisago
 
iiishakufa hii iko benchi kaka, EFE(Ally's ya kanda ya ziwa) iliimaliza
wakajaribu kuifufua juzi tu ikaacha ndala tena, ngwala moja chini palee Moro, mpaka leo hii iko grounded, imefichwa Vijibweni
Kumbe unaleta mahaba kwenye uhalisia . niishie hapa maana mpaka hapa umeongea mkumbo.

DXE gari yenye miaka 5+ amepiga EBF zote za Allys,Zikja EF series zote nk gair bado inapoga DSM-Mwanza Au DSM -Bukoba tupa geuka mpaka leo. Siper Amrani kaua gari nyingi kufuata Polo kuanzi dXS series mpaka sasa Amiagiza Dragon zemye busta so si kama hatujui na uache kuongea mahaba.
 
Kinachombeba NF ana kikosi kipana so ana luxury ya kufanya rotation tofauti na Saul 1st 11 yake ilikua ni ileile ndio maana wachezaji wakaburn out haraka.

Ila Saul angekua amejipanga kama katarux mambo yangekua tofauti.
Sahihi Super Amran wa Allys anabadilosha vifuruahi tu kila siku 😁😁..Watu wataleta uvishi kwa mahaba ila Scania ni gari wazee ndo maana now matajiri wakubwa wameshtuka wanaagiza gari za maana angalia Achimwene,Mbeppo,Kemes,Chakaby(R.I.p) nk
 
Scania ni engine bora kuwahi kutokea mkuu mimi ndio chaguo langu hilo nipo na G 460 na XT hawa jamaa wamemaliza matatizo mengi ya engine...
Sikupingi kuna vijana wanafananisha Scania na Cummims kisa mahaba ..Mchina kama huna rotation ya gari nyingi hutoboi miezo 6 gari mkweche . mwezi wa tatu ilibukaga Happh Nation Mastorily ya Town. EHC yake Roja nakimbiza Kataram haikumaliza miezi 6 ile gari kimeo ile midude iko vile vile mapafu tupa geuka.
 
Sauli ni juzi hapo.
Nilidandia hekima"sauti ya manka" miaka ya 2000 pale Mbeya stand kuu ya zamani saa tatu asubuhi, ilikua toka Tunduma sa kumi jioni jamaa kapiga honi ubungo.
Siku hiyo sikulala njia nzima jinsi ile gari inakimbizwa.
2.
Najmunisa toka Mwanza miaka hiyo hiyo nilipanda Singida enzi hamna lami mpk Dom,
Yule dreva sijui aliendeshaje lile bus.
Sa 10 jioni tuko kibaha.
Ilibidi basi lipelekwe kituoni mpaka saa moja usiku ndio turuhusiwe kuingia mjini.
 
Back
Top Bottom