Hivi kuna bus zilizokua na Aura kama Sauli Luxury 2018-2024 Mikoa ya nyanda za Juu kusini?

Hivi kuna bus zilizokua na Aura kama Sauli Luxury 2018-2024 Mikoa ya nyanda za Juu kusini?

Nafikiri mda mwingine that is not the case,
Nafikiri changamoto za masuccessor wetu,
Sasa huyu successor c anatakiwa kuandaliwa, sasa kama hajaandaliwa hatuwezi kumlaumu.
Bado shida n kwa huyo mmiliki yeye ndio anatakiwa kumuandaa huyo successor.

Muangalie bakhersa, mzee n mwenyekiti tuu ila wamiliki ni watoto wake.
 
ABC wana tabia ya kubadilisha mabasi. Wana nia ya kutoa gari zaidi ya 5 kama New Force Dar-Tunduma-Dar lakini mara nyingi wanafaulisha Wako too ambitious

Ni suala la muda tu hakuna wa kucompete na Jason nyanda za Juu Kusini. Si umeona tayari Katarama na mwenzake wamepelea

BlueStar alimvamia Swax sasa hivi karusha taulo kmmmk
Katarama kapelea wapi maana mpaka leo hana hata mpango wa kuongeza gari huko yeye soko lake kalenga zaidi mwanza bukoba
 
Katarama kapelea wapi maana mpaka leo hana hata mpango wa kuongeza gari huko yeye soko lake kalenga zaidi mwanza bukoba
Nimegundua jamaa ni mnazi wa Jason/Newforce ndo maana nikaona tutaanza mabishano bila sababu ya msingi.. suala ni kwamba chaka la Newforce tunduma lishavamiwa kama ilivo kwa superfeo Songea
 
Katarama kapelea wapi maana mpaka leo hana hata mpango wa kuongeza gari huko yeye soko lake kalenga zaidi mwanza bukoba
Kapelea ndio maana hana huo mpango, Jason mbona anaongeza vyuma? Na vingine viko yard

Ndivyo biashara ya mabasi ilivyo kampuni huwa zina ukanda wao usidhani kila mahali ukiingia utakubalika

Katarama akomae na Mwanza watoane damu na Ally's na Bukoba na Kaizerege
 
Hamna cha kupelea wala nini huko mbeya alienda kwa mihemko tu aidha ya madereva au nyie wanazi
 
Hamna cha kupelea wala nini huko mbeya alienda kwa mihemko tu aidha ya madereva au nyie wanazi
Tatizo mkurugenzi anawasikiliza sana wanazi. Hata Mwanza asipokuwa makini atarusha taulo aachane na mikeka itampoteza.

Mwezi uliopita kaangusha basi kisa awafurahishe wanazi. Waboreshe huduma wateja wameanza kulalamik ameanza kupwaya. Hiyo njia amewakuta wakurungwa akina Ally's
 
Sasa huyu successor c anatakiwa kuandaliwa, sasa kama hajaandaliwa hatuwezi kumlaumu.
Bado shida n kwa huyo mmiliki yeye ndio anatakiwa kumuandaa huyo successor.

Muangalie bakhersa, mzee n mwenyekiti tuu ila wamiliki ni watoto wake.
Unajua unaposema kumuandaa, kuna muda tutawapa wazee wetu lawama kwasababu utakuta kama yeye alianza from scratch kajifunza mpaka kaimasta vizuri.
Nafikiri kama mtoto anajua umuhimu kuendeleza alichoachiwa na wazazi anaweza kuanza kujifunza vizuri.
Kuna watoto wanaandaliwa na bado shida iko pale,
Naona ni mtoto tu kuwa na uchungu na moyo wa uendelezaji bila uvivu.
Unakuta mzee akiwa amefariki watoto wanawaza kugawana mali.
Ni mawazo yangu lakini.
 
Sijuwahi shuhudia gari iliyokuwa na mashabiki mtaani kama hii.

Wakati fulan nilipanda .Dereva alikuwa Kamanda aisee njiani tunampita sio wanawake wala wanaume niliwashuhudia wakitoka kwenye majumba yao wakiishangilia gari.

Bado tulipofikastand watu wakalipuka kwa furaha nanderemo nilibaki mdomo wazi kwanini jamaa anakubarika vile...

Jambo jingine ni Dereva alikuwa anaendesha simu mkononi anajua kila kila pahala palipo na torch na trafiki.
 
Back
Top Bottom