Hapana , wala hakuna shida , kila mtu ana maisha yake na jinsi anvyopangilia tu namna ya kuishi hivyo sioni sababu ya mwingine kuingilia utaratibu wa mtuHata Mimi nimetetemeka sana kuona wanaume wanamzogoa kuliko hata wanawake Daah Kuna uwalakini mkubwa Kwa wanaume sampuli hii.
Ni kawaida lakini si kawaida. Haya umepost una kula kitimoto sisi inatuhusu Nini na inatusaidia Nini?Hapana , wala hakuna shida , kila mtu ana maisha yake na jinsi anvyopangilia tu namna ya kuishi hivyo sioni sababu ya mwingine kuingilia utaratibu wa mtu
Mimi hata mwanaume kuweka mistatus naonaga Jau mno🙌Ila Kwa wanaume kufanya Ivo naonaga imekaa ki creepy creepy 🙄
Sielewag kwann mwanaume mtu mzima ujipost unalamba midomo huku unaimba nyimbo ya mboso mda mwingine aibu naona Mimi
Mie naona aibu mwanaume kujipost mipicha kibao under 25 naowaona bado ni vijana wanahangaka na Dunia ila wanaofata mhh aibuMimi hata mwanaume kuweka mistatus naonaga Jau mno🙌
1. Mtu apande ndege uumieMimi Huwa sielewi hasa huu ugonjwa wa kutafuta social validation, hasa wadada na wakaka wasiojielewa ndo Huwa Wana tabia hizi.
Unakuta kidada kimepewa trip ya kuenjoy nje ya nchi, Sasa buana akienda Kule Kila kitu anapost status ya wasap au insta, akiwa swimming pool, kwenye ndege, akiwa anakula chakula, akiwa beach. Sasa nashindwa kuelewa inamaana anachofanya afurahii yeye anachofurahia ni kupost kutuonesha kuwa anafurahia.
Wakati wengine muda wote ni kupost watoto wao , na familia mitandaoni, nafikiri si kila mtu aliyeko kwenye contact zako ni anafurahia hivo , tujifunze kukeep privacy, hayo mambo wanafanya mastaa na ni Kwa ajili ya branding au adverts.
Kila unachofanya unapost, Kila unapoenda sehemu nzuri, au unapokula msosi mzuri post, ukivaa nguo mpya kupost, kutwa kupost watoto wako na kuwasifia, weka mambo Yako private
Wewe unajielewaKuna muda inabidi ukubali tu tumeishi sehemu tofauti na malezi tofauti, kama kwenu ilikuwa hata kutoka out na wazazi ni ngumu lazima ushangae mtu akitoka na familia na kuweka status
Kwenye niniWewe unajielewa
Dogo na likitambi lote Hilo?Post to inspire
I post my weight lifting gym sessions to inspire others on health management.
I occasionally post my pictures sometimes to show how exercises pays,i guese this inspires even more .
Ningekuwa nauweza wa kumfikia ghaflaIla Kwa wanaume kufanya Ivo naonaga imekaa ki creepy creepy 🙄
Sielewag kwann mwanaume mtu mzima ujipost unalamba midomo huku unaimba nyimbo ya mboso mda mwingine aibu naona Mimi
Ahahahahah...Dah kaka umeamua tu kunichafua. Body yangu naikubali mnooo,imepangika mkuu. Mavitambi tumewaachia wenyewe.Dogo na likitambi lote Hilo?