Hivi kuna haja gani ya Kupost mambo yako, watoto, nguo mpya, Ujinga huo na ushamba

Simu yake, bando lake, humlishi, humvishi na humhudumii kwa chochote, Sasa Mtu akijiposti mtandaoni wewe inakuuma nini?

Kama hujiposti ni wewe na huo ni uhuru wako.

Na wanao jiposti ni uhuru wao.

Huwezi kupangia watu maisha.
 
Una uhuru wa kutoposti chochote bila kuingiliwa pia wanaoposti wana uhuru wa kuposti chochote bila kuingiliwa.

Kila mtu ana namna yake ya kuishi.
 
Kama hujui basi ninyi wenye roho mbaya ndo walengwa wakuu, kumbe huwa mnaview ila kucomment hamcoment mnakuja kuripuka huku anonymously sio??

Kila mtu aishi ajuavyo, ukikereka na stutus zake mhide usione.

Kiranga huwa anasema watoto wake, nguo zake, nauli ya ndege yake, beach kalipia yeye wewe inakuuma nini yeye kufanya afanyayo??
 
unafikiri kwanini iliitwa Status/story?
 
Upo sahihi, nimeview status tatu nikasema ngoja niende Jamii Forum siwezi vumilia ujinga
 
kama ishu ni kujihisi duni, mbona Elon musk anajipost?
 

Unaelewa maana ya Dunia kuwa kijiji?
Au upo Dunia ya Karne ya 18 huko?

Mtu kupost mambo yake wewe inakuumiza au kuvunja Sheria yoyote?

Kama haposti uchi, hatukani MTU, havunji maadili kwa nini uone shida?
 
Naposti kwa simu yangu , kitimoto nanunua kwa pesa yangu wapi mimesema mtazame ??? Kama inakukera Fanya ku mute tu bwashee
Sasa mbona siku mkila ugali na matembele hua hampost?

πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Jamani si kuna watu ni content creators? Hata kwa wasapu status kama mtu anapost matangazo ya biashara ila mara moja anatupia maisha yake ili kuchangamsha asiwe too boring!

Do better mleta mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…