Hivi kuna haja gani ya Kupost mambo yako, watoto, nguo mpya, Ujinga huo na ushamba

Simu yake. Bundle lake wewe unapata wapi mamlaka ya kumpangia?

What next, mtawapangia msosi wa kula na muda wa kulala?

Msipende kujipa umuhimu msiokuwa nao kwenye maisha binafsi ya watu. To each their own.
 
Limbukeni wa mitandaoni hasa wanao fanya hivo ni masingo maza wanafidia ule upweke.
Dah afu syo masingle maza n hao wenye ndoa zao ndo wako busy hzo mambo, masingo maza tunaficha sura za watoto wetu
 
Kumekucha!
 
Wanao post privacy yao kwenye social media wana roho ya mashindano,roho ya kujionyesha,wanapenda raha za Dunia na ni watu wasio na furaha ya kweli.
Also wana addiction flani Hivi.
 
Maoni hapa ni 50/50, Ina maana Kuna wanaume humu wanajipost na wengine hawajipost
 
Wanao post privacy yao kwenye social media wana roho ya mashindano,roho ya kujionyesha,wanapenda raha za Dunia na ni watu wasio na furaha ya kweli.
Also wana addiction flani Hivi.
Sahihi kabisa Mkuu,
Ongezea pia wana ulimbukeni fulani hivi,wanataka kuwaaminisha watu kua wana maisha fulani hivi ya juu ila sio kweli,
Ndio maana wakila Dona na matembele hua hawapost.

πŸ˜€ πŸ˜€
 
Mtoa mada acheni wivu usio na maana. Mtu anafanya kwa furaaha zake, wewe waumia. Why?
 
Kila mtu anaishi maisha anayo ona yanampa furaha , hivyo sioni tatizo.
Yaani nipelekwe nje ya nchi kula bata halafu nisiwadolishie wakina Mamuu na mwajei ?? Aaahhh weee bora nisiende.
 
Yaani nipelekwe nje ya nchi kula bata halafu nisiwadolishie wakina Mamuu na mwajei ?? Aaahhh weee bora nisiende.
Kumbavu πŸ˜…πŸ˜… mda mwingine sisi wamatumbi ni stress tu😁
 
Sahihi kabisa Mkuu,
Ongezea pia wana ulimbukeni fulani hivi,wanataka kuwaaminisha watu kua wana maisha fulani hivi ya juu ila sio kweli,
Ndio maana wakila Dona na matembele hua hawapost.

πŸ˜€ πŸ˜€
Umetisha kwa point yako. Yaani wanatangaza maisha fake mtandaoni πŸ˜‚πŸ˜‚
Mfano kuna dada fulani yuko mtaa wa tatu kutoka kwetu.Huyo dada anachoma vitumbua....kimoja kinauzwa sh 200. Maisha yake ni ya kawaida sana.

Sasa ukienda kwenye akaunti yake ya Facebook! Utasema huyu mtoto wa kishua πŸ˜‚πŸ˜‚ kumbe anaishi mabondeni.
 
Yaani asilimia kubwa kama sio mambo ya ku post wengi tusingeshawishika hata kuwa na vitu vizuri. Hebu fikiria ununue kitanda cha million 5 halafu usipost🀣🀣🀣🀣
Posti madam tu


Now bia ya 10 πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡
 
Yaani asilimia kubwa kama sio mambo ya ku post wengi tusingeshawishika hata kuwa na vitu vizuri. Hebu fikiria ununue kitanda cha million 5 halafu usipost🀣🀣🀣🀣
Naomba namba yako basi niwe na view post zako ili na mimi nishawishike kua na vitu vizuri.
 
Halafu atalalamika amerogwa, kumbe tools kapeleka mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…