Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Naomba kujibiwa hili swali wakuu hivi Kuna klabu kubwa na Bora duniani zaidi ya hii timu ya real Madrid hapa tunaongea ki mpira na si kishabiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka vigezo vya ubora na ukubwa ili tuone nani atakuwepo na nani hawez kuwepo mana usishangae vigezo uliyotumia kupima ukubwa na ubora hata hiyo real Madrid yenyewe haipoNaomba kujibiwa hili swali wakuu hivi Kuna klabu kubwa na Bora duniani zaidi ya hii timu ya real Madrid hapa naongea ki mpira na si kishabiki
Sawa mkuuHAKUNA.
Unashabikia mpira maana shabiki wa mpira anajua tu vigezo vya timu Bora ni makombe makubwaWeka vigezo vya ubora na ukubwa ili tuone nani atakuwepo na nani hawez kuwepo mana usishangae vigezo uliyotumia kupima ukubwa na ubora hata hiyo real Madrid yenyewe haipo
Timu Gani Bora kuzidi Madrid mkuuMapenzi hayo si ushabiki
Kama timu gani?Madrid ni timu kubwa mtandaoni na kwenye media tu
Timu kubwa zipo huko America
Naomba nitajie timu ya America iliyobeba kombe la klabu bingwa dunia kuizidi Madrid mkuuMadrid ni timu kubwa mtandaoni na kwenye media tu
Timu kubwa zipo huko America
Man u mbona Haina makombe mengi ya uefa kuizidi LiverpoolMan U ndo club pekee iliyokuwa inamfuata Madrid kwenye ubora wake lakini tangia itoke kwenye mfumo wa mataji hakuna club nyingine ya kuifananisha na Real Madrid.
Atakwambia Yanga.Naomba nitajie timu ya America iliyobeba kombe la klabu bingwa dunia kuizidi Madrid mkuu
1. Idadi ya vikombeWeka vigezo vya ubora na ukubwa ili tuone nani atakuwepo na nani hawez kuwepo mana usishangae vigezo uliyotumia kupima ukubwa na ubora hata hiyo real Madrid yenyewe haipo
Hayo makombe yanaandaliwa na mshindi anapatika kisiasa za michezo ili ku promote biasharaNaomba nitajie timu ya America iliyobeba kombe la klabu bingwa dunia kuizidi Madrid mkuu