Hivi Kuna klabu kubwa na Bora duniani zaidi ya real Madrid

Kulingana na Historia hakuna wa kuipiku REAL MADRID.

Ila tukiangalia msimu mmoja mmoja ziko timu tofauti ambazo zimekua zikiifunika Madrid kwa misimu tofauti mfano MANCHESTER CITY,BARCELONA NA BAYERN MUNICHEN.
 
Kulingana na Historia hakuna wa kuipiku Madrid.

Ila tukiangalia msimu mmoja mmoja ziko timu tofauti ambazo zimekua zikiifunika Madrid kwa misimu tofauti mfano MANCHESTER CITY,BARCELONA NA BAYERN MUNICHEN.
Zimeifunika wapi mkuu
 
Back
Top Bottom