Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Namungo FC.Naomba kujibiwa hili swali wakuu hivi Kuna klabu kubwa na Bora duniani zaidi ya hii timu ya real Madrid hapa tunaongea ki mpira na si kishabiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namungo FC.Naomba kujibiwa hili swali wakuu hivi Kuna klabu kubwa na Bora duniani zaidi ya hii timu ya real Madrid hapa tunaongea ki mpira na si kishabiki
Basi we kariri timu kubwa ni Madrid, PSG, man city na ChelseaUnazungumzia timu kongwe au kubwa?
Ukubwa wa hizo timu ni Nini tutajie SasaBasi we kariri timu kubwa ni Madrid, PSG, man city na Chelsea
Nakwambia timu kubwa ulaya ni As Milan, Liverpool, Celtics, Schakle 04, Arsenal na Man u
Ukubwa wa timu ni mashabiki wenye mapenzi ya kweli, wana derby kubwa,Sasa mbona huna pointi nimekuuliza ukubwa wa timu ni Nini nitajie maana hii ni football ukubwa wake unaupataje tofauti ni makombe kabatini
Hapo umetaja kongwe hujataja kubwaBasi we kariri timu kubwa ni Madrid, PSG, man city na Chelsea
Nakwambia timu kubwa ulaya ni As Milan, Liverpool, Celtics, Schakle 04, Arsenal na Man u
Kwahiyo Madrid hana mashabiki wenye mapenzi ya kweli mbona unaandika vituko mkuu yaani Madrid asiwe na mashabiki wenye mapenzi ya kweli acha kuandika vituko mkuu eti Madrid Haina derby kwahiyo wakicheza na atletico Madrid ni Nini Ile mkuu 🤣🤣🤣Ukubwa wa timu ni mashabiki wenye mapenzi ya kweli, wana derby kubwa,
Madrid yako hata derby haina inajilazimisha el clasico
Ubora na ukubwa wa timu hupimwa kwa makombe waliyonayo na sio porojo.Naomba kujibiwa hili swali wakuu hivi Kuna klabu kubwa na Bora duniani zaidi ya hii timu ya real Madrid hapa tunaongea ki mpira na si kishabiki
Naona wengine wanapinga na hawana pointi yeyote aisee wanaorodhesha timu nikiwauliaa zinamakombe mangapi wanabaki kusema ukubwa wa timu sio makombe Sasa timu ya mpira kazi yake ni Nini kama sio kujikusanyia makombeUbora na ukubwa wa timu hupimwa kwa makombe waliyonayo na sio porojo.
Kwa maelezo hayo yatosha kudhibitisha hilo kwamba R. Madrid timu Bora duniani no dought
Madrid haifikii ukubwa ac Milan au LiverpoolKwahiyo Madrid hana mashabiki wenye mapenzi ya kweli mbona unaandika vituko mkuu yaani Madrid asiwe na mashabiki wenye mapenzi ya kweli acha kuandika vituko mkuu eti Madrid Haina derby kwahiyo wakicheza na atletico Madrid ni Nini Ile mkuu 🤣🤣🤣
Hizo timu imeizidi nini Madrid tofauti na umri wa kuanzishwaMadrid haifikii ukubwa ac Milan au Liverpool
Japo Madrid nayo ni miongoni mwa timu kubwa
Uzi ufungwe 🔒Ubora na ukubwa wa timu hupimwa kwa makombe waliyonayo na sio porojo.
Kwa maelezo hayo yatosha kudhibitisha hilo kwamba R. Madrid timu Bora duniani no dought
Wewe huna unachojua na nimegundua pale uliposema Madrid Haina derby jaribu kufuatila michezo mingine mkuu unaweza ukawapata wa kuwadanganyaMadrid haifikii ukubwa ac Milan au Liverpool
Japo Madrid nayo ni miongoni mwa timu kubwa
Wewe unaefatilia DStv huwezi jua timu kubwaHizo timu imeizidi nini Madrid tofauti na umri wa kuanzishwa
Uwingi wa mashabiki hakuna wa kumtoa Man U on top1. Idadi ya vikombe
2. Wingi wa mashabiki duniani kote
3. Uwezo wa kifedha.
4. Ukongwe kwenye game
Kwa vigezo hapo juu, no football club can match real Madrid
Jaribu kufuatila michezo mingine mkuu hata rede itakufaa mpira sio mdomoni Bali uwanjani ninachokiona kwako unapiga umbea ila sio kuzungumzia ballWewe unaefatilia DStv huwezi jua timu kubwa
Wingi wa mashabiki unaupimaje duniani mkuu na man u unatuthibitishia vipi anamashabiki wengi duniani Sasa hiviUwingi wa mashabiki hakuna wa kumtoa Man U on top
Real madrid n club bora ya karne imepokea tuzo majuzi tu wakuu..Jaribun hata kufatilia ndy muanze kuchangia..Simba
Timu kubwa ni zaidi ya makombe dogoJaribu kufuatila michezo mingine mkuu hata rede itakufaa mpira sio mdomoni Bali uwanjani ninachokiona kwako unapiga umbea ila sio kuzungumzia ball