Hivi Kuna klabu kubwa na Bora duniani zaidi ya real Madrid

Kwani Madrid anashiriki kwenye mchezo Gani si ni soka na soka kipaumbele si makombe au Kuna nini kingine kwenye soka au unaongelea Nini mkuu maana hapa tunaongelea soka
Makombe pekee hayamanishi ukubwa wa club
Mfano Kwa Africa
Mamelod amekuwa bingwa wa CAF lakini haimaanishi wataizidi ukubwa Enyimba, Yanga, As vita, Gormahia
 
Kama unahisi kuna klabu ya mpira kubwa kuliko Real Madrid, itaje na utupe vigenzo vya hiyo klabu kuwa kubwa kuliko Real.
 
Kwa maoni yangu CHELSEA ndo klabu kubwa duniani anafuata madrid,man u... arsenal inakuwa ya 100 huko
 
Makombe pekee hayamanishi ukubwa wa club
Mfano Kwa Africa
Mamelod amekuwa bingwa wa CAF lakini haimaanishi wataizidi ukubwa Enyimba, Yanga, As vita, Gormahia
Naona kama huna point unasemaje timu kubwa na Haina makombe maana huu ni mpira na timu Ili iwe kubwa lazima ibebe kombe kubwa na kunyanyasa timu pinzani uwanjani ukubwa hauji kwa maneno Bali makombe
 
Naona kama huna point unasemaje timu kubwa na Haina makombe
We ndo hujui mpira unadhani ati ukubwa wa timu ni makombe
Makombe ni mafanikio sio ukubwa
Kwa England timu kubwa ni Liverpool, man u, Arsenal, Everton na sio man city au Chelsea
 
Sasa mbona huna pointi maana hizo timu ulizosema kubwa england zote zinamakombe mengi ya ligi england kuzidi hizo timu ulizosema sio kubwa mkuu unaelewa ulichokiandika lakini🤣🤣🤣
 
Unazungumzia timu kongwe au kubwa?
 
Sasa mbona huna pointi maana hizo timu ulizosema kubwa england zote zinamakombe mengi ya ligi england kuzidi hizo timu ulizosema sio kubwa mkuu unaelewa ulichokiandika lakini🤣🤣🤣
We unaufatilia mpira DStv wanawalisha vitu vya kibiashara na timu kubwa huzijui upo umekariri ati timu kubwa ni Madrid, Chelsea, man city na PSG😅😀🤣
 
Makombe pekee hayamanishi ukubwa wa club
Mfano Kwa Africa
Mamelod amekuwa bingwa wa CAF lakini haimaanishi wataizidi ukubwa Enyimba, Yanga, As vita, Gormahia

Mamelodi ni kama Azam. mamelodi Hana mashabiki .

Tofauti na hao kina Gormahia wana maelfu wa mashabiki
 
We unaufatilia mpira DStv wanawalisha vitu vya kibiashara na timu kubwa huzijui upo umekariri ati timu kubwa ni Madrid, Chelsea, man city na PSG😅😀🤣
Sasa mbona huna pointi nimekuuliza ukubwa wa timu ni Nini nitajie maana hii ni football ukubwa wake unaupataje tofauti ni makombe kabatini
 
Back
Top Bottom