Hivi Kuna klabu kubwa na Bora duniani zaidi ya real Madrid

Mbona kama umepaniki mkuu nitajie ukubwa wa hizo timu unaoizidi Madrid usiweke hasira
Madrid hana ukubwa wowote nyie mmeijua kutoka BBC
Hamjapata time ya kufuatilia mpira
Mafanikio ya Madrid yapo kisiasa tu
 
Kisiasa kivipi wakati watu tunaona mpira unachezwa uwanjani mkuu na timu zinazidiwa na Madrid uwanjani tunashuhudia Kwa macho yetu mawili nilishasema mkuu usiweke ushabiki hapa tunaongelea soka
 
Kaka hiyo klabu ulioitaja hapo haifananishwi na klabu yoyote. Kama utaza kuongelea vilabu vya mpira basi real Madrid unaiweke kwenye kundi lake.
Ukimaliza ndo utaziongelea klabu Kama Man u, Ac Milan, Bayern Munich, Liverpool, Barcelona, nk
 
Kuna watu wanabisha hapo juu ila naona hawanipi fact yeyote zaidi ya kubishana nawaomba timu inayoizidi Madrid hawanitajii zaidi wanabisha tu
 
Zimeifunika wapi mkuu
Ni kweli kuwa kuna misimu ambapo Real Madrid imefunikwa na timu nyingine, kwa sababu soka ni mchezo unaopitia vipindi tofauti vya mafanikio na changamoto. Hapa kuna mifano michache ya misimu ambapo Real Madrid ilifunikwa na timu nyingine:

1. Barcelona (2008–2012)
•La Liga, Champions League, na Kombe la Mfalme, Kipindi cha Pep Guardiola kilipoiongoza Barcelona.

•Barcelona ilitawala soka kwa mtindo wao wa "Tiki-Taka," wakiongozwa na Lionel Messi, Xavi, Iniesta, na wachezaji wengine wa kipekee.

•Barcelona ilishinda La Liga mara 3 (2008-09, 2009-10, 2010-11), na Champions League mara mbili (2008-09 na 2010-11), huku Real Madrid wakiwa nyuma kwa kiwango cha ubora na makombe.

2. AC Milan (1988–1994)
•Ulaya, kwenye UEFA Champions League, Kipindi cha Fabio Capello na Arrigo Sacchi wakiongoza AC Milan.

•AC Milan ilikuwa na kikosi bora, wakiwemo Marco van Basten, Ruud Gullit, na Franco Baresi.

•Milan walishinda Champions League mara tatu (1989, 1990, 1994) wakati Real Madrid walishindwa kutamba Ulaya.

3. Bayern Munich (2012–2013)
•UEFA Champions League, Msimu wa 2012-2013.

•Bayern Munich iliwashinda Real Madrid kwenye hatua ya nusu fainali (2011-2012) na ikashinda Champions League mwaka 2013 kwa kiwango cha juu.

•Bayern Munich ilionekana kuwa timu bora Ulaya wakati huo, hasa kwa ubora wa wachezaji kama Arjen Robben na Franck Ribéry.

4. Manchester City (2023)
•UEFA Champions League, Msimu wa 2022-2023.

•Manchester City chini ya Pep Guardiola walikuwa na kikosi imara, wakiwemo Kevin De Bruyne na Erling Haaland, na waliitandika Real Madrid kwenye nusu fainali (4-0).

•Manchester City walitwaa ubingwa wao wa kwanza wa Champions League, huku Real Madrid wakionekana kushindwa kukabiliana na mbinu zao.

Madrid ni timu bora ya muda wote ila hilo haimaanishi kila msimu hua inakuwa timu bora, kuna baadhi ya misimu kama nilovyokutajia hapo juu Madrid iliburuzwa.
 
Kisiasa kivipi wakati watu tunaona mpira unachezwa uwanjani mkuu na timu zinazidiwa na Madrid uwanjani tunashuhudia Kwa macho yetu maw

Kuna watu wanabisha hapo juu ila naona hawanipi fact yeyote zaidi ya kubishana nawaomba timu inayoizidi Madrid hawanitajii zaidi wanabisha tu
Hao ni mashabiki wa Barcelona ambao waliaza kuipenda barce kipindi Cha Mes, Iniesta na Xiavie. Huwa wanahis timu yao ipo level moja na Real Madrid.
 
Ni kweli kuwa kuna misimu ambapo Real Madrid imefunikwa na timu nyingine, kwa sababu soka ni mchezo unaopitia vipindi tofauti vya mafanikio na changamoto. Hapa kuna mifano michache ya misimu ambapo Real Madrid ilifunikwa na timu nyingine:

1. Barcelona (2008–2012)
•La Liga, Champions League, na Kombe la Mfalme, Kipindi cha Pep Guardiola kilipoiongoza Barcelona.

•Barcelona ilitawala soka kwa mtindo wao wa "Tiki-Taka," wakiongozwa na Lionel Messi, Xavi, Iniesta, na wachezaji wengine wa kipekee.

•Barcelona ilishinda La Liga mara 3 (2008-09, 2009-10, 2010-11), na Champions League mara mbili (2008-09 na 2010-11), huku Real Madrid wakiwa nyuma kwa kiwango cha ubora na makombe.

2. AC Milan (1988–1994)
•Ulaya, kwenye UEFA Champions League, Kipindi cha Fabio Capello na Arrigo Sacchi wakiongoza AC Milan.

•AC Milan ilikuwa na kikosi bora, wakiwemo Marco van Basten, Ruud Gullit, na Franco Baresi.

•Milan walishinda Champions League mara tatu (1989, 1990, 1994) wakati Real Madrid walishindwa kutamba Ulaya.

3. Bayern Munich (2012–2013)
•UEFA Champions League, Msimu wa 2012-2013.

•Bayern Munich iliwashinda Real Madrid kwenye hatua ya nusu fainali (2011-2012) na ikashinda Champions League mwaka 2013 kwa kiwango cha juu.

•Bayern Munich ilionekana kuwa timu bora Ulaya wakati huo, hasa kwa ubora wa wachezaji kama Arjen Robben na Franck Ribéry.

4. Manchester City (2023)
•UEFA Champions League, Msimu wa 2022-2023.

•Manchester City chini ya Pep Guardiola walikuwa na kikosi imara, wakiwemo Kevin De Bruyne na Erling Haaland, na waliitandika Real Madrid kwenye nusu fainali (4-0).

•Manchester City walitwaa ubingwa wao wa kwanza wa Champions League, huku Real Madrid wakionekana kushindwa kukabiliana na mbinu zao.

Madrid ni timu bora ya muda wote ila hilo haimaanishi kila msimu hua inakuwa timu bora, kuna baadhi ya misimu kama nilovyokutajia hapo juu Madrid iliburuzwa.
Namaa isha ukubwa kijumla sio miaka kadhaa tu hapo hata Leicester nae ataitwa mkubwa wa uingereza sababu 2016 alikua Bora nae
 
Hao ni mashabiki wa Barcelona ambao waliaza kuipenda barce kipindi Cha Mes, Iniesta na Xiavie. Huwa wanahis timu yao ipo level moja na Real Madrid.
Sahihi mkuu maana naona hata hamna pointi Kwa wanachoandika
 
Kisiasa kivipi wakati watu tunaona mpira unachezwa uwanjani mkuu na timu zinazidiwa na Madrid uwanjani tunashuhudia Kwa macho yetu mawili nilishasema mkuu usiweke ushabiki hapa tunaongelea soka
Kwaiyo Man City au Chelsea kwakuwa wana UEFA wanaizidi ukubwa Everton, Arsenal, Celtics
 
Kama timu gani?

Itakuwa amejumlisha timu za michezo yote.

Kuna timu za American football ndio huwa zinashika chati za timu kubwa duniani. Ukipima timu za michezo yote.

Real Madrid huwa anashika nafasi ya 10 ama ya 11 kwenye ranking za timu za michezo yote
 
Kwaiyo Man City au Chelsea kwakuwa wana UEFA wanaizidi ukubwa Everton, Arsenal, Celtics
Kwani Madrid anashiriki kwenye mchezo Gani si ni soka na soka kipaumbele si makombe au Kuna nini kingine kwenye soka au unaongelea Nini mkuu maana hapa tunaongelea soka
 
Namaa isha ukubwa kijumla sio miaka kadhaa tu hapo hata Leicester nae ataitwa mkubwa wa uingereza sababu 2016 alikua Bora nae
Wewe jamaa Mjinga, nimekwambia hakuna Timu kubwa kuizidi Real Madrid, nikasema japo baadhi ya misimu hua inazidiwa na Timu kadhaa.

Ukasema nikwambie misimu gani hiyo na Timu zipi hizo, nimekuwekea data hapo, Na bado mwishoni nimehitimisha kwamba Madrid ni timu bora ya muda wote Hata kama baadhi ya misimu hua inaburuzwa na Timu nilizokutajia hapo.

Huo mfano wa Leicester unaingiaje hapo, Leicester city amewahi kushinda michuano ya Club bingwa mwaka gani na akachukua kombe akawa kinara mbele ya Madrid?
 
Matusi ya Nini Ili uonekane unajua sana kutukana au
 
Back
Top Bottom