Hivi Kuna klabu kubwa na Bora duniani zaidi ya real Madrid

Hivi Kuna klabu kubwa na Bora duniani zaidi ya real Madrid

Najaribu kufuatilia comment za mashabiki wa Yanga waliochangia mada hii...

Ni huruma kwakweli...

Hawa jamaa hawajui mpira kabisa...

NB: ndugu msomaji mwenzangu, tenga mda wako kufuatilia comment za @ngara33 na Mwananchi OG.
 
Timu kubwa ni zaidi ya makombe dogo
Madrid ni miongoni mwa timu kubwa lakini jua timu kubwa zipo na hazina mbwembwe
Hapa unapiga umbea hauongelei mpira na mpira na maneno ya mdomoni ni vitu viwili tofauti kabisa mkuu fuatilia michezo mingine hivi ujishtukii unapinga halafu pointi huleti unaakili timamu kweli
 
Najaribu kufuatilia comment za mashabiki wa Yanga waliochangia mada hii...

Ni huruma kwakweli...

Hawa jamaa hawajui mpira kabisa...

NB: ndugu msomaji mwenzangu, tenga mda wako kufuatilia comment za @ngara33 na Mwananchi OG.
Mimi naona huyo ngara kama Hana akili timamu anapinga kitu halafu haleti pointi kwamba Madrid kazidiwa sehemu Fulani na timu fulani
 
Hapa unapiga umbea hauongelei mpira na mpira sio umbea mkuu fuatilia michezo mingine hivi ujishtukii unapinga halafu pointi huleti unaakili timamu kweli
Nakutoa usingizini nakupa exposure dogo
Pata muda fuatilia Kwa umakini Ac Milan, Liverpool, River plate, Celtics, man u halafu urudi uongelee Madrid yako
 
Nakutoa usingizini nakupa exposure dogo
Pata muda fuatilia Kwa umakini Ac Milan, Liverpool, River plate, Celtics, man u halafu urudi uongelee Madrid yako
Huna Kili mkuu Wala sijakutusi ila ni uhasilia dishi lako limeyumba
 
Back
Top Bottom