Hivi Kuna klabu kubwa na Bora duniani zaidi ya real Madrid

Naomba kujibiwa hili swali wakuu hivi Kuna klabu kubwa na Bora duniani zaidi ya hii timu ya real Madrid hapa naongea ki mpira na si kishabiki
Weka vigezo vya ubora na ukubwa ili tuone nani atakuwepo na nani hawez kuwepo mana usishangae vigezo uliyotumia kupima ukubwa na ubora hata hiyo real Madrid yenyewe haipo
 
Weka vigezo vya ubora na ukubwa ili tuone nani atakuwepo na nani hawez kuwepo mana usishangae vigezo uliyotumia kupima ukubwa na ubora hata hiyo real Madrid yenyewe haipo
1. Idadi ya vikombe
2. Wingi wa mashabiki duniani kote
3. Uwezo wa kifedha.
4. Ukongwe kwenye game

Kwa vigezo hapo juu, no football club can match real Madrid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…