nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Hapa unapiga umbea hauongelei mpira na mpira na maneno ya mdomoni ni vitu viwili tofauti kabisa mkuu fuatilia michezo mingine hivi ujishtukii unapinga halafu pointi huleti unaakili timamu kweliTimu kubwa ni zaidi ya makombe dogo
Madrid ni miongoni mwa timu kubwa lakini jua timu kubwa zipo na hazina mbwembwe
Mimi naona huyo ngara kama Hana akili timamu anapinga kitu halafu haleti pointi kwamba Madrid kazidiwa sehemu Fulani na timu fulaniNajaribu kufuatilia comment za mashabiki wa Yanga waliochangia mada hii...
Ni huruma kwakweli...
Hawa jamaa hawajui mpira kabisa...
NB: ndugu msomaji mwenzangu, tenga mda wako kufuatilia comment za @ngara33 na Mwananchi OG.
Nakutoa usingizini nakupa exposure dogoHapa unapiga umbea hauongelei mpira na mpira sio umbea mkuu fuatilia michezo mingine hivi ujishtukii unapinga halafu pointi huleti unaakili timamu kweli
Huna Kili mkuu Wala sijakutusi ila ni uhasilia dishi lako limeyumbaNakutoa usingizini nakupa exposure dogo
Pata muda fuatilia Kwa umakini Ac Milan, Liverpool, River plate, Celtics, man u halafu urudi uongelee Madrid yako
NimekupuuzaHuna Kili mkuu Wala sijakutusi ila ni uhasilia dishi lako limeyumba
Huna pointi ya kujibu zaidi ya porojoNimekupuuza
Sikujibu tena
Mawazo yanguReal madrid n club bora ya karne imepokea tuzo majuzi tu wakuu..Jaribun hata kufatilia ndy muanze kuchangia..