Hivi kuna mkoa unakosa maadili kama Dar?

Kikubwa kufika salama
 
Haipendezi hiyo kitu mawazo hayapo kwenye ngono. Huo sio ustaarabi
 
Unafanya vyote kwa pamoja, unasikiliza pia unakagua sketi
 
Mwasibu una tabia kama za Mabushmen! Sasa cha ajabu ni kipi hapo!
 
Huu mfano mbona sio Dar tu.Kama ni hivyo basi usukumani napo pazingatie.

Kuna siku nilikuwa Geita na shida ya kwenda Kakola.Nilienda parking ya magari ya Kakola(Nyankumbu) nikakuta gari hamna.

Boda akaja akaniuliza Kakola twende nikasema poa.Bei tukaelewana gafla akasema ngoja nipate abiria mwingine nikamwambia sina kulipa pesa unayotaka?gafla sikaja mama yuko serious kupanda nikamwambia jamaa hatakama ni haraka we tembea na huyo.

Hiyo ni ya kwangu.Ukitaka kujua utata wa hili ulizia wenyeji wa Kakola wakwambie boda zinazoenda Nyamishiga sijui Nyangalata huwa wanapakia vipi.Asee kuna watu wanaishi bhana dunia ina maajabu mengi.
 
Mkuu mimi nachombeza tu
Muhaji sijafika miaka isiyopungua 20 na zaidi.
Sijui hata kukoje miaka hii.
Wakati huo kulikuwa na basi moja tu kwenda huko kutoka Njombe CDB.
Halafu ukishuka pale stendi unakutana na usafiri wa Baiskeli ukupitishe kwenye ule msitu.
sasa muhaji si mjini kabisa mkuu, labda wa makete ndanindani bulongwa huko
Uhaj
 
Walishasema hivi hamwelewi? Aibu utaona mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…